MsaniiMkubwa
Member
- Sep 2, 2026
- 31
- 60
Ndio kwa mfano sasa nataka kulipia Grok kifrushi cha mwezi mmoja na sina card ya bank?.Sasa njia ya si wao wanakupa? Kingine kuwa makini scams ni nyingi sana hasa app za android, jitahidi tumia AI ambazo ni reputable kama Gemin, Grok etc
Free! Kama una unajambo la maana unafanya basi achana na hizo free sites, bure siku zote inakua ghali.Kwa dunia ya sasa kulipia pesa yako kwenye apps au websites kwa huduma fulani sio, free sites zipo nyingi sana
Ukiona Mtu analazimika kwenda kwenye app ya kulipia ujue amelazimika kufanya hivyo.Kila Mtu angependa cha bure kama kinapatikana.Kwa dunia ya sasa kulipia pesa yako kwenye apps au websites kwa huduma fulani sio, free sites zipo nyingi sana
Inategemeana na matumizi yakoKwa dunia ya sasa kulipia pesa yako kwenye apps au websites kwa huduma fulani sio, free sites zipo nyingi sana