Ni ipi njia bora ya kumwachisha mtoto kunyonya maziwa ya mama?

ramani

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
61
Reaction score
11
Tuna mtoto wa mwaka 1 na miezi 9 wa kike,mke wangu anataka kumwachisha kunyonya mtoto wetu sasa hatujajua ipi ni njia bora ya kumwachisha..
Asante.
 
Mmh! mtakuwa mnalea kama yai, miezi 9 na mwaka sasa, bado anakula ziwa la mama.....

Kitaalamu mtoto uachishwa kunyonya kwanjia mbali but chua hizi
~Kumpatia chakula kwa series za kawaida (asb, mch na jion) kizuri na nyororo, Hataacha.
~Kumpatia maji, chai au uji pindi atakapo kunyonya
~Kumpakia pilipili ziwa la mama akitaka kunyonya, na hapo ataliogopa kabisa
~Mwisho ni kumnyima tu pindi atakapo, na kumlea kimaadili ya kitanzania sio kizungu

Namtakia maisha mapya yenye fanaka na heri mwanetu.
 
Asante mkuu tutatumia hizo nyingine,hiyo ya pilipili kama ya kikatili.
 
Mwambie mkeo asiogope manyonyo yake kufanana na ndala,amwache mtoto anyonye mpaka
aatakapoacha mwenyewe.
 
Anza kumuachisha taratibu yaani kama mkeo alikuwa anamyonyesha mara 4 kwa siku basi punguza iwe mara 3 let say kwa muda wa wiki, (ule muda wake wa kunyonya mpe juisi,matunda,uji, na nk) akishazoea basi punguza na iwe mara 2 na endelea hivyo hivyo mpaka atakapoacha kabisa.

Uzuri wa njia hii ni kuwa mtoto uacha kunyonya bila kuwa na stress, pia njia hii ni nzuri kwa mama kwani uepuka maumivu ya matiti pindi unapoachisha ghafla(akina mama wengi hupata maumivu makali na hata kupeleke kupata homa)

Ugumu wa njia hii inatakiwa hujue ni kipindi gani hutaki kunyonyesha yaani kama umeamua kipindi cha asubuhi mpaka mchana basi inabidi ukomae hivyo hivyo ingawaje mtoto atasumbua kwa muda lakini atazoea.( Husije sema kwa vile amesumbua ngoja nimpe anyonye kidogo).

Pia siku wa kwanza mpaka ya tatu itakuwa stress kidogo lakini komaa tu baada ya hapo atazoea.
 
Mmh! mtakuwa mnalea kama yai, miezi 9 na mwaka sasa, bado anakula ziwa la mama.....

Kitaalamu mtoto uachishwa kunyonya kwanjia mbali but chua hizi
~Kumpatia chakula kwa series za kawaida (asb, mch na jion) kizuri na nyororo, Hataacha.
~Kumpatia maji, chai au uji pindi atakapo kunyonya
~Kumpakia pilipili ziwa la mama akitaka kunyonya, na hapo ataliogopa kabisa
~Mwisho ni kumnyima tu pindi atakapo, na kumlea kimaadili ya kitanzania sio kizungu

Namtakia maisha mapya yenye fanaka na heri mwanetu.
Miaka miwili ndo vizuri.
 
I love breastfeeding son. Its our time to bond as he touches my nose and mouth and I look into his beautiful big eyes.

Ni mbishi wa kula na naambiwa ni kwa sababu namnyonyesha sana but nikiwazaga bond yetu naskiaga kabisa nipo depressed.
 
Mtoto anafaa kunyonya miezi sita bila kumpea kitu nyingine..complimentary feeding...after 6 mths anza supplementary feeding breastmilk+other foods...till 2yrs hapo
 
Habari JF.

Zipi ni njia bora kabisa kumwachisha mtoto wa mwaka na nusu nyonyo bila kuteteresha afya yake?

Naona mawazo yenu nynyi kina mama na kina baba kama sana ufahamu, na kama kuna thread iliyowahi zungumzia suala hili si mbaya akasema hapa.
 
kwanini umwachishe wakati bado hajatimia miaka miwili?
kama inakubidi huna budi, anza kumpunguzia mara unazompa.
yaani unaweza kumpa asubuhi na usiku tuu basi.
ikisha ukamkatisha usiku.
baadae na asubuhi.
ila ikiwa hasikii kabisa analia tuu wakati wote anataka nakuomba mpe mpaka miaka miwili.
akifika miwili ikiwa anaendelea ivyo ivyo litie shubiri ataliacha mwenyewe na atakula kama kawaida
ahsante
 
Mtoto haachishwi nyonyo...huacha mwenyewe. Mtoto anatakiwa angalau anyonye mpaka umri miaka miwili au zaidi. Muache mtoto anyonye...
 
Safiri umwachie baba, akulele kwa siku 3 tuu,utaona..
 
kwanini umwachishe wakati bado hajatimia miaka miwili?
kama inakubidi huna budi, anza kumpunguzia mara unazompa.
yaani unaweza kumpa asubuhi na usiku tuu basi.
ikisha ukamkatisha usiku.
baadae na asubuhi.
ila ikiwa hasikii kabisa analia tuu wakati wote anataka nakuomba mpe mpaka miaka miwili.
akifika miwili ikiwa anaendelea ivyo ivyo litie shubiri ataliacha mwenyewe na atakula kama kawaida
ahsante
Asante sana mamii ntajitahidi sana kufuatilia ushauri wako.
 
Mtoto haachishwi nyonyo...huacha mwenyewe. Mtoto anatakiwa angalau anyonye mpaka umri miaka miwili au zaidi. Muache mtoto anyonye...
Sawa ila nahisi nimechoka kunyonyesha daah
 
Back
Top Bottom