Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh! mtakuwa mnalea kama yai, miezi 9 na mwaka sasa, bado anakula ziwa la mama.....
Kitaalamu mtoto uachishwa kunyonya kwanjia mbali but chua hizi
~Kumpatia chakula kwa series za kawaida (asb, mch na jion) kizuri na nyororo, Hataacha.
~Kumpatia maji, chai au uji pindi atakapo kunyonya
~Kumpakia pilipili ziwa la mama akitaka kunyonya, na hapo ataliogopa kabisa
~Mwisho ni kumnyima tu pindi atakapo, na kumlea kimaadili ya kitanzania sio kizungu
Namtakia maisha mapya yenye fanaka na heri mwanetu.
Miaka miwili ndo vizuri.Mmh! mtakuwa mnalea kama yai, miezi 9 na mwaka sasa, bado anakula ziwa la mama.....
Kitaalamu mtoto uachishwa kunyonya kwanjia mbali but chua hizi
~Kumpatia chakula kwa series za kawaida (asb, mch na jion) kizuri na nyororo, Hataacha.
~Kumpatia maji, chai au uji pindi atakapo kunyonya
~Kumpakia pilipili ziwa la mama akitaka kunyonya, na hapo ataliogopa kabisa
~Mwisho ni kumnyima tu pindi atakapo, na kumlea kimaadili ya kitanzania sio kizungu
Namtakia maisha mapya yenye fanaka na heri mwanetu.
wangu ana miaka 3 na miezi 4 bado ananyonya
Mkuu ramani Mungelingojea atimize miaka 2 kamili itimie ndipo hapo munaweza kumuachisha maziwa sio kwa sasa ushauri wangu ni huo.Tuna mtoto wa mwaka 1 na miezi 9 wa kike,mke wangu anataka kumwachisha kunyonya mtoto wetu sasa hatujajua ipi ni njia bora ya kumwachisha..
Asante.
Habari JF.
Zipi ni njia bora kabisa kumwachisha mtoto wa mwaka na nusu nyonyo bila kuteteresha afya yake?
Naona mawazo yenu nynyi kina mama na kina baba kama sana ufahamu, na kama kuna thread iliyowahi zungumzia suala hili si mbaya akasema hapa.
Asante sana mamii ntajitahidi sana kufuatilia ushauri wako.kwanini umwachishe wakati bado hajatimia miaka miwili?
kama inakubidi huna budi, anza kumpunguzia mara unazompa.
yaani unaweza kumpa asubuhi na usiku tuu basi.
ikisha ukamkatisha usiku.
baadae na asubuhi.
ila ikiwa hasikii kabisa analia tuu wakati wote anataka nakuomba mpe mpaka miaka miwili.
akifika miwili ikiwa anaendelea ivyo ivyo litie shubiri ataliacha mwenyewe na atakula kama kawaida
ahsante
Sawa ila nahisi nimechoka kunyonyesha daahMtoto haachishwi nyonyo...huacha mwenyewe. Mtoto anatakiwa angalau anyonye mpaka umri miaka miwili au zaidi. Muache mtoto anyonye...