Ni ipi njia isiyo na fedheha ya kutongoza mwanamke mtandaoni ambaye hamjawahi onana?


Hahah kwa leo sina ujanja, nisije geuka Nenga wa Ndomu, usiku wote ukaisha bila kucheza ya ugenini...

Kasinde, napumzika mimi [emoji3059]
 
Hahah kwa leo sina ujanja, nisije geuka Nenga wa Ndomu, usiku wote ukaisha bila kucheza ya ugenini...

Kasinde, napumzika mimi [emoji3059]


Ciao...!

Sleep well..!

Usisahau ya ugenini ikiisha huwa kuna marudio nyumbani, cha muhimu kujifua tuu 😂😂😂😂.

Alamsiki shuganane.
 
Ciao...!

Sleep well..!

Usisahau ya ugenini ikiisha huwa kuna marudio nyumbani, cha muhimu kujifua tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Alamsiki shuganane.
Cheers!!!

Mazoezi yanaendelea kama kawa Kasinde [emoji4]
 
Mkuu hii njia ni nzuri mimi binafsi ,
Imenisaidia msingi ni ukweli kama wewe ni mfupi mwambie mapema kama huna hela kwa wakati huo mwambie pie aje casual kikawaida sio anaenda saloon ya laki alafu date kibanda cha chips
 
Mpasukie moja kwa moja,mwambie nataka kusinya
 
Kwa nini msitumiane picha mnapopanga kukutana kuliko kuwekana roho juu. Na picha ikikufanya ubadili mawazo weka wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…