Ni ipi njia isiyo na fedheha ya kutongoza mwanamke mtandaoni ambaye hamjawahi onana?

Sijui hata hua natumia mbinu gani, kama masikhara tu washaingia 18 zangu...
 
Technolojia imekuwa hivi inakuwaje mpaka unaenda kuonana na mtu na bado hamjuani vyema?
 
Mi naona mitandaoni wanawake ndo wanaongoza kutongoza Wanaume
 
Km tu wengine tunajuana live ila mahusiano yamegoma nyie wa mtandaoni Mnachokitafuta mtakipata kwa kweli
 

Kwangu siwezi kutongoza demu ambaye hata sijui yupoje!! Mimi napenda "INYE" MSAMWANDA GWEDE GWEDE ,je akiwa "FLAT SCREEN" si nitakuwa nimemuumiza kumuacha hewani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…