Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
- Thread starter
- #21
Asante mkuu nashukuru . Nitafanyia kaziSasa jitahidi kumkwepa..
Rudi nyumbani kulala tu, pia jitahidi sana ktk Chakula usile peke ako, akipakua na yeye ale hicho hicho.
Pia jitahidi wakati wa kulala usilale kama Ng'ombe, jitahidi ukae mkao.
Pia usiwe mtu wa maneno meengi, timiza wajibu wako kama Mume hasa wa kuacha kodi ya meza na kulipa bills.
Ukirudi hakikisha unarudi na zawadi.. muachie kisha oga vzr kula msosi.. lala.
Pia tafuta faraja nje ya Ndoa.. (Jiongeze) tafuta mtu wa kukupa furaha na amani ya moyo.. si lazima awe MPENZI.