Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

Nakubali mkuu. Ni kama mjini tapeli anapoingia kwenye mawindo. Anasoma terget yake kwanza, inaingilika? Au sisi wanaume tunavyomtongoza mwanamke. Tunapima kwanza uwezekano wa kukubaliwa.

Ndio hivyo.
Huyo demu akirusha kete Zake Moja Moja kujaribu kutingisha kibiriti ameona hakijajaa, ñàona sasa kaamua kumwaga Kabisa njiti zote
 
Kwa uhalisia Wapare hawajalelewa vizuri.
Mi nanaye huwa namcheki tu
Nadhani mazingira yao ni mama kuwa na sauti, nilikuja fuatilia kwao hata bodaboda na watu wa mtaani wanaita kwa "mama fulani" na mtu akitaka kitu anamtafuta mama wakati baba yupo kila siku analala hiyo nyumba. Hata wafanyakazi wako likely kumsikiliza mama na mzee haoni shida anakubali. Mzee mwenyewe ukitaka kitu anakuelekeza kwa mke wake. Wao hawana shida ila sisi tusiowazoea ndio changamoto
 
Hata Mama Mkwe anaweza kuuliza maswali ya kishamba
 
Ndugu zangu wana Jf Salaam sana.

Ndugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke . Nilikusanya akili zangu na kuamua kuoa sasa leo hii nipo hapa kuomba ushauri wa namna nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonyesha kila dalili ya kutaka kumtawala mwanaume.

Mimi nimeoa ila kipindi cha uchumba mke wangu alikua ananisikiliza sana na alikua nikimuongoza anafata kwa usahihi yale yote niliyokua na mwelekeza na alinionyesha tabia njema mpaka nikavutiwa kumuoa

Sasa Kilichokuja kutokea ni baada ya kumuoa ndiyo ameanza kunionyesha mabadiliko mara kwa mara.

1: MKE WANGU, Amekua akinionyesha kwa maongezi na vitendo vyake kwamba ana kila dalili ya kutaka kunitawala mimi mume wake , hata kupitia mazungumzo yake na lawama zake unaona kabisa hapa anatak kunitawala.

2: MKE WANGU, Amekua akinitaka mimi mume wake nifate kila utaratibu wa maisha anaosema yeye jambo ambalo linaashiria kabisa anataka mimi mume wake nikae kwenye mfumo jike wake na siyo yeye kukaa kwenye taratibu zangu

3: MKE WANGU, amekua akiishi na mimi kama mtu mwenye machale machale mguu nje mguu ndani na mara nyingi tukipishana kauli amekua akiniambia kama simtaki au nimemchoka ni mwambie aondoke.

4: MKE WANGU, amekua akiongea kauli ambazo zinakua na amri amri ndani yake mfano, nataka , naenda, nipe, niletee, kama hutaki niambie au fanya.

5: MKE WANGU , amekua akijifanya yeye ni mweye misimamo mikali hata kama haina maana yeyote ile, aking'ang'ania jambo ameling'ang'ania hasa.

6: Mbali na yote hayo hata akiongea ujinga , akikosea au akinijia juu anataka mimi ndo nishuke nianze kumbembeleza na kumwelekeza kwa upole. na siyo yeye kushuka kama ilivyo desturi ya mwanamke awe mnyenyekevu na mtiifu kwa mumewe.

Nb.

Ndugu zangu mimi kwa upande wangu kaa mwanaume kuhusu majukumu mengine kweli mke wangu anajitahidi ila kuhusu hayo hapo juu nimeweka msimamo kwamba sipoteyari kwa namna yeyote ile kukubaliana na mambo yake na kila mara na mwambia mwanaume ndiye nguzo, msimamizi na kiongozi wa mwanamke.

SASA NIPO HAPA NAOMBENI NAMNA NZURI YA KUISHI NA MKE WANGU MWENYE KILA DALILI YA KUTAKA KUNITAWALA NA KUTAKA MIMI NDIYE NIWE NA MSIKILIZA YEYE NA MWENYE KUJISHUSHA KWAKE MAANA MIMI SIPO TEYARI KABISA KUKUBALIANA NA MAMBO YAKE.

"" MSINISHAURI NI ACHANE NAE MAANA KWA STYLE HII NIMESHA WAACHA WENGI SANA"

ASANTEN:;-
Man down hesabu maumivu 😁😁
 
Mfanyie vitu vya kishenzi shenzi. Mfano, uwe unamla ndogo tigo kila siku asubuhi

Huo kumfira ni mfano tu, Mungu hapendi.

Maana yake ukimfanyia vitu vya kishenzi shenzi unqmvuruga mda wote hapoi roho yake iko juu juu atakupenda sana.

Wanawake wanapenda wanaume wa ovyo, ukiwa mstaarbu sana anakuona Lofa anakupanda.

Acha kushindana nae kabisa
Aisee! Mangi unamshauri jamaa aakafire mke wake? Ajabu sana
 
Sasa jitahidi kumkwepa..
Rudi nyumbani kulala tu, pia jitahidi sana ktk Chakula usile peke ako, akipakua na yeye ale hicho hicho.

Pia jitahidi wakati wa kulala usilale kama Ng'ombe, jitahidi ukae mkao.

Pia usiwe mtu wa maneno meengi, timiza wajibu wako kama Mume hasa wa kuacha kodi ya meza na kulipa bills.

Ukirudi hakikisha unarudi na zawadi.. muachie kisha oga vzr kula msosi.. lala.

Pia tafuta faraja nje ya Ndoa.. (Jiongeze) tafuta mtu wa kukupa furaha na amani ya moyo.. si lazima awe MPENZI.
Mchango mzuri sana kiongozi, ila tafadhali rekebisha hapo mwisho chini... Sio atafute mtu wa kumpa faraja, bali atafute kitu cha kumpa faraja, amani na raha. Usimshauri mwenzako kutoka nje ya ndoa yake ingawaje hana sababu ya msingi wala hajaligundua na kulithibitisha hilo kwa mwenza wake. Otherwise anatafuta mabalaa, mamikosi, magonjwa na malaana.

Ahsante!
 
Aah nina girlfriend Mpare huyo anatoa amri kama Brigadier. Nilikuwa sizingatii kabila mpaka rafiki yangu aliponiambia ni Mpare, kaja ofisini kwangu siku ya kwanza tu anafokea kila mtu
HAHAHA! ule msemo wa mtoto wa boss na yeye boss umeusahau mkuu?!

Huyo ni mke wa boss, kwa maana kwamba na yeye ni boss... Kwani kuna shida komredi?! 😂
 
Mambo mengine ni bahati mzee... Ukiwa huna we ni wa mikosi na ku-loose kila kukicha. Dunia ina mambo!
Hakuna kitu inaitwa bahati duniani, hata bahati nasibu watu wanashinda kwa sababu walichukua hatua ya kununua tiketi!

Sasa wewe labda katika maisha yako unavutiwa na wanawake wabishi wabishi, wajeuri jeuri, na baadye unakuja kuchukizwa na hizo tabia. Haiwezekani wote wawe wanaficha makucha yao hadi muoane. Mwanamke mjeuri utamgundua tu, au watu wengine watakuambia pale moto usiguse!
 
Ndugu zangu wana Jf Salaam sana.

Ndugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke . Nilikusanya akili zangu na kuamua kuoa sasa leo hii nipo hapa kuomba ushauri wa namna nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonyesha kila dalili ya kutaka kumtawala mwanaume.

Mimi nimeoa ila kipindi cha uchumba mke wangu alikua ananisikiliza sana na alikua nikimuongoza anafata kwa usahihi yale yote niliyokua na mwelekeza na alinionyesha tabia njema mpaka nikavutiwa kumuoa

Sasa Kilichokuja kutokea ni baada ya kumuoa ndiyo ameanza kunionyesha mabadiliko mara kwa mara.

1: MKE WANGU, Amekua akinionyesha kwa maongezi na vitendo vyake kwamba ana kila dalili ya kutaka kunitawala mimi mume wake , hata kupitia mazungumzo yake na lawama zake unaona kabisa hapa anatak kunitawala.

2: MKE WANGU, Amekua akinitaka mimi mume wake nifate kila utaratibu wa maisha anaosema yeye jambo ambalo linaashiria kabisa anataka mimi mume wake nikae kwenye mfumo jike wake na siyo yeye kukaa kwenye taratibu zangu

3: MKE WANGU, amekua akiishi na mimi kama mtu mwenye machale machale mguu nje mguu ndani na mara nyingi tukipishana kauli amekua akiniambia kama simtaki au nimemchoka ni mwambie aondoke.

4: MKE WANGU, amekua akiongea kauli ambazo zinakua na amri amri ndani yake mfano, nataka , naenda, nipe, niletee, kama hutaki niambie au fanya.

5: MKE WANGU , amekua akijifanya yeye ni mweye misimamo mikali hata kama haina maana yeyote ile, aking'ang'ania jambo ameling'ang'ania hasa.

6: Mbali na yote hayo hata akiongea ujinga , akikosea au akinijia juu anataka mimi ndo nishuke nianze kumbembeleza na kumwelekeza kwa upole. na siyo yeye kushuka kama ilivyo desturi ya mwanamke awe mnyenyekevu na mtiifu kwa mumewe.

Nb.

Ndugu zangu mimi kwa upande wangu kaa mwanaume kuhusu majukumu mengine kweli mke wangu anajitahidi ila kuhusu hayo hapo juu nimeweka msimamo kwamba sipoteyari kwa namna yeyote ile kukubaliana na mambo yake na kila mara na mwambia mwanaume ndiye nguzo, msimamizi na kiongozi wa mwanamke.

SASA NIPO HAPA NAOMBENI NAMNA NZURI YA KUISHI NA MKE WANGU MWENYE KILA DALILI YA KUTAKA KUNITAWALA NA KUTAKA MIMI NDIYE NIWE NA MSIKILIZA YEYE NA MWENYE KUJISHUSHA KWAKE MAANA MIMI SIPO TEYARI KABISA KUKUBALIANA NA MAMBO YAKE.

"" MSINISHAURI NI ACHANE NAE MAANA KWA STYLE HII NIMESHA WAACHA WENGI SANA"

ASANTEN:;-
Unamchekea sana, au unapenda mambo ya democracy sana ndio maana anajifanya kulimudu, na amegundua unapenda sana ndo maana anakutishia ooh kama umenichoka niambie kuondoke, siku alikutamkia tena mwambie ee ondoka, uone kama ataondoka
 
Back
Top Bottom