CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 458
We changia au rekebisha nilipokosea.Tupe reference mkuu. Usichanganye cerebral malaria na severe/complicated malaria, just go and pass your slide please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We changia au rekebisha nilipokosea.Tupe reference mkuu. Usichanganye cerebral malaria na severe/complicated malaria, just go and pass your slide please
Ndo maana nimetoa loop kama una vitu vya ziada tiririka,reference pamoja na guideline mbona zipo,au nikutajie soma ya who,soma Hata ya Tanzania.Kasome essentials of pharmacology pia ya KD TRIPATH ukusaidie broad classification ya antimalarialTupe reference mkuu. Usichanganye cerebral malaria na severe/complicated malaria, just go and pass your slide please
Pole sana,ila ulipata huduma njema kabisaThanks again Selekwa. Huyu dogo alianza kulalamika maumivu ya kichwa, joto kupanda (nilimpima temp home ikawa 39) tukampeleka dispensary jirani wakakuta malaria wakampa ALU. Baada ya dozi 3 ikawa bado temp na kutapika balaa. Nikampeleka another big hospital na immediately wafanya vipimo kadhaa. Wakasema malaria bado ipo wakaanzisha ile injection 3 na madripu kadhaa plus injection ya kuzuia kutapika. Baada ya second injection wakaona bado temp inapanda mpaka 40 na kutapika. Wakamcheki urine kumbe ana UTI kibao, aisee. Halafu wiki hiyo hiyo dogo ana supplementary mbili.
Mkuu subiri natafuta USB nikutumie tilio moja matata. WHO ina vitu vingine not applicable in tzNdo maana nimetoa loop kama una vitu vya ziada tiririka,reference pamoja na guideline mbona zipo,au nikutajie soma ya who,soma Hata ya Tanzania.Kasome essentials of pharmacology pia ya KD TRIPATH ukusaidie broad classification ya antimalarial
Pitia hii mkuu wanguNdo maana nimetoa loop kama una vitu vya ziada tiririka,reference pamoja na guideline mbona zipo,au nikutajie soma ya who,soma Hata ya Tanzania.Kasome essentials of pharmacology pia ya KD TRIPATH ukusaidie broad classification ya antimalarial
Pole sana,ila ulipata huduma njema kabisa
Labda niongezee kitu hapo mkuu. Ina wezekana treatment aliyo pewa ili kuwa sahihi na parasite walisha kufa. Lakn kwakuwa vipimo vingi vinavyo tumika kwnye hosptal nyingi ni MRDT antgen bado zita kuwepo ivyo ita kuwa +ve bado.. so kuna uwezekano akawa amepewa dawa juu ya dawa. Lakin yote ya yote ilikuwa niku hakikisha mtoto ana pona.Thanks again Selekwa. Huyu dogo alianza kulalamika maumivu ya kichwa, joto kupanda (nilimpima temp home ikawa 39) tukampeleka dispensary jirani wakakuta malaria wakampa ALU. Baada ya dozi 3 ikawa bado temp na kutapika balaa. Nikampeleka another big hospital na immediately wafanya vipimo kadhaa. Wakasema malaria bado ipo wakaanzisha ile injection 3 na madripu kadhaa plus injection ya kuzuia kutapika. Baada ya second injection wakaona bado temp inapanda mpaka 40 na kutapika. Wakamcheki urine kumbe ana UTI kibao, aisee. Halafu wiki hiyo hiyo dogo ana supplementary mbili.
hapa ndo nataka ufafanuzi kati ya severe malaria na complicated malariaTupe reference mkuu. Usichanganye cerebral malaria na severe/complicated malaria, just go and pass your slide please
Kwa shule yangu ndogo severe malaria ndio complicated malaria. Nimetoa reference yangu ya chuo- muhimbili hapo juu. Sijawahi ona tofauti. Ni sawa na kusema imminent eclampsia na severe eclampsia or severe pre-eclampsia.hapa ndo nataka ufafanuzi kati ya severe malaria na complicated malaria
Hiyo ni regimen hakika wala hawakubahatisha.they did better.L
Labda niongezee kitu hapo mkuu. Ina wezekana treatment aliyo pewa ili kuwa sahihi na parasite walisha kufa. Lakn kwakuwa vipimo vingi vinavyo tumika kwnye hosptal nyingi ni MRDT antgen bado zita kuwepo ivyo ita kuwa +ve bado.. so kuna uwezekano akawa amepewa dawa juu ya dawa. Lakin yote ya yote ilikuwa niku hakikisha mtoto ana pona.
Nimepitia ingawa ni kwa haraka haraka we are just in same tunnel. Isome kwa utulivu mwishoni inakupa description of complicated malaria mostly is when theres CNS involvement. Nikitulia ntaipitia kwa utulivuPitia hii mkuu wangu
Nakubaliana na wewe kwenye classification ya malaria tu, ila hapo kwenye classification ya HTN in pregnancy nakataa. Hivyo vitu vitatu ni tofauti kabisa mkuu. Rejea vitabu hasa kwenye clinical features na lab findings.Kwa shule yangu ndogo severe malaria ndio complicated malaria. Nimetoa reference yangu ya chuo- muhimbili hapo juu. Sijawahi ona tofauti. Ni sawa na kusema imminent eclampsia na severe eclampsia or severe pre-eclampsia.
Principals are not social worship,Sheria na mioongozo ipo hata kama huifurahii lazima ifuatwe.
Kuna watu wamefanya tafiti za kina na kutengeneza mioongozo hii wala si siasa.
Mfano Tanzania ilipoacha kutumia Chloroquine mwaka 2001 Agust na kuaanza kutumia Sp,ni miaka kama minne tu dawa hii ya Sp ilishindwa kupambana na vimelea hivi kwa karibu asilimia 25.5,Second line yake ilikuwa ni Amodiaquine nayo ilioonyesha kushindwa kwa asilimia 12.WHO inasema dawa yoyote inayoonyesha resistance kwa takribani asilimia 25 kwenye kutibu malaria ni ishara tosha kuonyesha hitaji la mabadiliko katika Tiba ya Malaria.
Mapendekezo yalikuwa mengi ikiwa ni pamoja na kuwa na combination ya Sp+Amodiaquine,Artesunate +Amodiaquine ,Pamoja na Artemether + Lumefantrine,Tafiti za kina ziliendelea kulingana na miongozo ya WHO,na mwishoni tukapata muoongozo tunaoutumia hivi sasa.
ACT/ALU= Dawa mseto ,pamoja na Quinine kama dawa ya malaria iliyo kali na malaria kwa waja wazito.
kwa jinsi unavyochangia sitakushangaa kabisa kweli utakuwa ni lipua lipua,ila kuna ambao wanajua walifanyaloMkuu ume jaribu kuona wali mpa injction ngap hapo mdau..? Ok yote ya yote Tz hatuna formular tuna lipua mambo. Ila kwa eneo nililopo tuna mpa mtu inj: 3 kila masaa 8 ya mwsho saa 24 then ana endlea na ALU. Kama syo ku mtundikia quinine iv.
Nashukuru. Una lingine laku ongezea.?kwa jinsi unavyochangia sitakushangaa kabisa kweli utakuwa ni lipua lipua,ila kuna ambao wanajua walifanyalo