Let us stop there,nahisi bado uko College haujaanza ku-practise siku moja utaelewa , jinsi ulivyo comment hapo juu ni idea dhaifu kabisa katika tiba ya malaria na sidhani kama iko kwenye guideline yeyote ile kwenye ulimwengu wa tiba ya malaria,ila chukulia kama sehemu ya kujifunza dont be so rigid nimeoongelea dawa mbili Artemether & Artesunate kama hutajali kasome Dose & administration, solubility zake zote na pia limitation ya kutumia Lumefantrine through Iv/Im route, HATUNA SINDANO YA LUMEFANTRINE TANZANIA Hakuna Di-amino pyrimidine derivative (Lumefantrine plain) injection kwa matibabu ya malaria,Dose ni kipimo makini cha kutofautisha dawa kama tiba au sumu,usirudie kusema dose ni jambo dogo,kama ni mwana taaluma wa Tiba huitendei haki taaluma yako.Hapa ndipo wazungu wanapotuzidi umakini tunapofanya negligence kwa vitu ambavyo ni very critical.
Huwezo kujua bila kusoma au kutenda kama, vyote nilivyoviaandika ni kweli nilivisoma ingawa ni miaka mingi kama wewe hupendi kusoma utakuwa unaiingia chaka kila siku maana hata artemether unasema ni mchanganyiko kidogo sijui wa nini na nini,?Ok sijajua refereance mnazotumia siku hizi mnazipata wapi.
Hatutakiwa kukariri kuwa tunajua inatakiwa tujiridhishe kweli tuko sahihi au bado tunatakiwa maarifa zaidi.