Ni ipi official anti-malaria Mseto?

Ni ipi official anti-malaria Mseto?

Let us stop there,nahisi bado uko College haujaanza ku-practise siku moja utaelewa , jinsi ulivyo comment hapo juu ni idea dhaifu kabisa katika tiba ya malaria na sidhani kama iko kwenye guideline yeyote ile kwenye ulimwengu wa tiba ya malaria,ila chukulia kama sehemu ya kujifunza dont be so rigid nimeoongelea dawa mbili Artemether & Artesunate kama hutajali kasome Dose & administration, solubility zake zote na pia limitation ya kutumia Lumefantrine through Iv/Im route, HATUNA SINDANO YA LUMEFANTRINE TANZANIA Hakuna Di-amino pyrimidine derivative (Lumefantrine plain) injection kwa matibabu ya malaria,Dose ni kipimo makini cha kutofautisha dawa kama tiba au sumu,usirudie kusema dose ni jambo dogo,kama ni mwana taaluma wa Tiba huitendei haki taaluma yako.Hapa ndipo wazungu wanapotuzidi umakini tunapofanya negligence kwa vitu ambavyo ni very critical.
Huwezo kujua bila kusoma au kutenda kama, vyote nilivyoviaandika ni kweli nilivisoma ingawa ni miaka mingi kama wewe hupendi kusoma utakuwa unaiingia chaka kila siku maana hata artemether unasema ni mchanganyiko kidogo sijui wa nini na nini,?Ok sijajua refereance mnazotumia siku hizi mnazipata wapi.
Hatutakiwa kukariri kuwa tunajua inatakiwa tujiridhishe kweli tuko sahihi au bado tunatakiwa maarifa zaidi.
Ni kweli huyo hayupo kwenye practise na ndio maana umuhimu wa miongozo kwenye management ya diseases haoni umuhimu wake.
 
Nme maanisha artmether ndio injection neno mchanganyiko ni ku maanisha nli type error una kimbilia ku reply kabla yaku helewa ok siku lahumu labda uandishi wangu ndo umekuwa mbovu. Maneno mengi siyo point jua hilo. Sitaki endlea maana nitakuwa na shindana badala yaku jifunza yote ya yote ni sehemu yaku jifunza.
 
Ni kweli huyo hayupo kwenye practise na ndio maana umuhimu wa miongozo kwenye management ya diseases haoni umuhimu wake.
Kweli mkuu,naumia sana kusikia mtu anasema dose ni jambo dogo, kweli huyu yuko serious ?
 
Artmether lumefantrine, nidawa ambayo huwa ni first choice ya treatment of uncomplicated. Malaria but kwa mtu ambaye ni complicated malaria huwa anapewa kwanza inject ya artsunate kulingana na body weight yake,
But mseto ambayo ndyo ALU bado inakazi kubwa sana nchin
 
Nme maanisha artmether ndio injection neno mchanganyiko ni ku maanisha nli type error una kimbilia ku reply kabla yaku helewa ok siku lahumu labda uandishi wangu ndo umekuwa mbovu. Maneno mengi siyo point jua hilo. Sitaki endlea maana nitakuwa na shindana badala yaku jifunza.
Ukisema maneno mengi si point naanza kuhisi hata hizo module zenu huwa unasoma lerning objective tu umemaliza.
Artmether lumefantrine, nidawa ambayo huwa ni first choice ya treatment of uncomplicated. Malaria but kwa mtu ambaye ni complicated malaria huwa anapewa kwanza inject ya artsunate kulingana na body weight yake,
But mseto ambayo ndyo ALU bado inakazi kubwa sana nchin

Artesunate kwa severe ila sio complicated,kwa complicated malaria we use Quinine as a drug of choice.MUONGOZO WA WIZARA
 
Ukisema maneno mengi si point naanza kuhisi hata hizo module zenu huwa unasoma lerning objective tu umemaliza.

Artesunate kwa severe ila sio complicate,kwa complicate malaria we use Quinine as a drug of choice.mUONGOZO WA WIZARA
Wa mwaka gani huo mwongozo?
 
Ukiwa serikalini fuata gurdline zaidi ambapo utatibu malaria kulingana na categories. Uncomplicated malaria first line dose ni ALU for complected malaria first line ni inj artesunate ikishindwa unatumia quinine inj.

Lakini ukiwa private ambazo wapo kiuchumi unaweza kuta katika uncomplicated malaria wanatumia inj artemether au ALU au dihydroartemisinin + piperaquine(duo-cotexin) au artemisinin + piperaquine(artequick) wengine kwa kutojua wanatumia SP ambayo sio dawa ya kutibu bali kinga au beta-artemether inj. Na katika complicate malaria hawajali first line Mara nyingi wanaanza na inj quinine badala ya inj artesunate.
 
...Selekwa thanks kwa maelezo mazuri. Juzi kijana wangu alilazwa wakamchoma hiyo artesunate saa moja usiku then saa 12 asubuhi na mwisho 12 jioni. Then wakatipa tablets. What is the difference between severe but not complicated?
 
Ukisema maneno mengi si point naanza kuhisi hata hizo module zenu huwa unasoma lerning objective tu umemaliza.

Artesunate kwa severe ila sio complicated,kwa complicated malaria we use Quinine as a drug of choice.MUONGOZO WA WIZARA
Kabisa[emoji1]
 
Injection ni Artemether mchanganyo kidogo. Kuhusu mg/kg ni swala dogo ata nurse wana lijua. Ila moja kwa moja kwaku andka mg/kg za Adult& infant ina onysha ume soma mahali naku andka na ndio maana unasema injction inatolewa evry 24. Injection hutolewa every 8hrs last ndo 24 hii ni baada ya patient kuonekana hayuko response to quinine therapy ivyo tuna ifafanua kama persistence of clinical features of severe malaria
Or failure of reduction of parasites after 3 days of treatment.
Hapo ndipo tunapo switch to Artemether injection 3.2mg/kg loading dose i.m followed by 1.6mg/kg im kwa 6 days kama huto mchoma 3.
kilicho andkwa kwnye guidelines au kwnye module sicho kinacho tumika kazini 100%. Yote ya yote uko vzr na ume andka vizuri @selekwa.
this is just WRONG, anyway labda tunatofautiana shule. Pia medicine ni pana.
 
...Selekwa thanks kwa maelezo mazuri. Juzi kijana wangu alilazwa wakamchoma hiyo artesunate saa moja usiku then saa 12 asubuhi na mwisho 12 jioni. Then wakatipa tablets. What is the difference between severe but not complicated?
Ni kitu kimoja. Huyo anayesema artesunate for severe na quinine for complicated ni kiraza pila shaka.
 
Kuna uncomplicated malaria na complicated/severe malaria sasa huyu wa kusema zipo tatu mmmh!! Jamani medicine yahitaji umakini, shule kichwani na uwezo wa kukubali kurekebishwa kwa facts lakini zilizokuwa proved tofauti na hapo tutawaumiza wagonjwa kama si kuua kabisa
 
Ukiwa serikalini fuata gurdline zaidi ambapo utatibu malaria kulingana na categories. Uncomplicated malaria first line dose ni ALU for complected malaria first line ni inj artesunate ikishindwa unatumia quinine inj.

Lakini ukiwa private ambazo wapo kiuchumi unaweza kuta katika uncomplicated malaria wanatumia inj artemether au ALU au dihydroartemisinin + piperaquine(duo-cotexin) au artemisinin + piperaquine(artequick) wengine kwa kutojua wanatumia SP ambayo sio dawa ya kutibu bali kinga au beta-artemether inj. Na katika complicate malaria hawajali first line Mara nyingi wanaanza na inj quinine badala ya inj artesunate.
Mkuu uko sahihi kabisa.
 
...Selekwa thanks kwa maelezo mazuri. Juzi kijana wangu alilazwa wakamchoma hiyo artesunate saa moja usiku then saa 12 asubuhi na mwisho 12 jioni. Then wakatipa tablets. What is the difference between severe but not complicated?
MKUU Kwanza pole sana,Kifupi mtoto alitibiwa kwa usahihi kabisa kulingana na mwongozo wa wizara,yaani 0 hour,12,na 24 hour.
Nini Maana ya tofauti unazotaka kujua(Ntaeleza kwa kifupi kidogo)
  1. Uncomplicated Malaria-Mgonjwa anakuwa na dalili za kawaida za complain mfano: kichwa kuuma ,joto la mwili kupanda lakini hakuna uchunguzi wa kitabibu kuonyesha kuna kiungo(organ) mwilini haifanyi kazi ,dalili hizi haziko specific sana ila homa ni dalili kuu na vipimo hufanyika kuthibitisha kama mgonjwa anasumbuliwa na maralia.(Dawa ni ALU/mseto,)
  2. Severe malaria-Hii ni inatokea pale uncomplicated malaria inaposhindwa kutibiwa na dali zake huwa ni kama zifuatazo,kupumua kwa shida,vipimo vikifannyika huonesha sukari kushuka,Kiwango cha damu kinakuwa chini,hii ndiyo malaria inayowaathari zaidi watoto chini ya miaka mitano hasa kutokana na kinga dhaifu wanayokuwa nayo pia kina mama wajawazito kutokana na mabadiliko makuwa ya hormone zao na mfumo wa damu.
    (Dawa ni Artesunate baadae ALU/Mseto mgonjwa akiimarika , Mjamzito dawa ni Quinine)
  3. Severe & Complicated malaria-Hii inatofautiana na severe malaria kwenye upande wa clinical presantation, moja ya dalili ni Mgonjwa huonekana kuwa na mabadiliko ya kitabia,kuchanganyikiwa (Confusion),Kujisaidia haja ndogo yenye damu(Haemoglobinuria) ,Mwili kulegea na kuishiwa nguvu(Prostration),kiwango cha damu kushuka,kutapika n.k.(Dawa ya msingi ni Quinine matibabu kamili,kama mgongwa anaimarika mapema anaeendelea na mseto/ALU).
    Nafikiri nimejaribu kukupa mwanga kidogo,hope wataalamu watapita kuoongeza.
 
Thanks again Selekwa. Huyu dogo alianza kulalamika maumivu ya kichwa, joto kupanda (nilimpima temp home ikawa 39) tukampeleka dispensary jirani wakakuta malaria wakampa ALU. Baada ya dozi 3 ikawa bado temp na kutapika balaa. Nikampeleka another big hospital na immediately wafanya vipimo kadhaa. Wakasema malaria bado ipo wakaanzisha ile injection 3 na madripu kadhaa plus injection ya kuzuia kutapika. Baada ya second injection wakaona bado temp inapanda mpaka 40 na kutapika. Wakamcheki urine kumbe ana UTI kibao, aisee. Halafu wiki hiyo hiyo dogo ana supplementary mbili.
 
MKUU Kwanza pole sana,Kifupi mtoto alitibiwa kwa usahihi kabisa kulingana na mwongozo wa wizara,yaani 0 hour,12,na 24 hour.
Nini Maana ya tofauti unazotaka kujua(Ntaeleza kwa kifupi kidogo)
  1. Uncomplicated Malaria-Mgonjwa anakuwa na dalili za kawaida za complain mfano: kichwa kuuma ,joto la mwili kupanda lakini hakuna uchunguzi wa kitabibu kuonyesha kuna kiungo(organ) mwilini haifanyi kazi ,dalili hizi haziko specific sana ila homa ni dalili kuu na vipimo hufanyika kuthibitisha kama mgonjwa anasumbuliwa na maralia.(Dawa ni ALU/mseto,)
  2. Severe malaria-Hii ni inatokea pale uncomplicated malaria inaposhindwa kutibiwa na dali zake huwa ni kama zifuatazo,kupumua kwa shida,vipimo vikifannyika huonesha sukari kushuka,Kiwango cha damu kinakuwa chini,hii ndiyo malaria inayowaathari zaidi watoto chini ya miaka mitano hasa kutokana na kinga dhaifu wanayokuwa nayo pia kina mama wajawazito kutokana na mabadiliko makuwa ya hormone zao na mfumo wa damu.
    (Dawa ni Artesunate baadae ALU/Mseto mgonjwa akiimarika , Mjamzito dawa ni Quinine)
  3. Severe & Complicated malaria-Hii inatofautiana na severe malaria kwenye upande wa clinical presantation, moja ya dalili ni Mgonjwa huonekana kuwa na mabadiliko ya kitabia,kuchanganyikiwa (Confusion),Kujisaidia haja ndogo yenye damu(Haemoglobinuria) ,Mwili kulegea na kuishiwa nguvu(Prostration),kiwango cha damu kushuka,kutapika n.k.(Dawa ya msingi ni Quinine matibabu kamili,kama mgongwa anaimarika mapema anaeendelea na mseto/ALU).
    Nafikiri nimejaribu kukupa mwanga kidogo,hope wataalamu watapita kuoongeza.
Tupe reference mkuu. Usichanganye cerebral malaria na severe/complicated malaria, just go and pass your slide please
 
Back
Top Bottom