Ni ipi official anti-malaria Mseto?

Tupe reference mkuu. Usichanganye cerebral malaria na severe/complicated malaria, just go and pass your slide please
Ndo maana nimetoa loop kama una vitu vya ziada tiririka,reference pamoja na guideline mbona zipo,au nikutajie soma ya who,soma Hata ya Tanzania.Kasome essentials of pharmacology pia ya KD TRIPATH ukusaidie broad classification ya antimalarial
 
Pole sana,ila ulipata huduma njema kabisa
 
Mkuu subiri natafuta USB nikutumie tilio moja matata. WHO ina vitu vingine not applicable in tz
 
Ndo maana nimetoa loop kama una vitu vya ziada tiririka,reference pamoja na guideline mbona zipo,au nikutajie soma ya who,soma Hata ya Tanzania.Kasome essentials of pharmacology pia ya KD TRIPATH ukusaidie broad classification ya antimalarial
Pitia hii mkuu wangu
 
Attachments

Mkuu ume jaribu kuona wali mpa injction ngap hapo mdau..? Ok yote ya yote Tz hatuna formular tuna lipua mambo. Ila kwa eneo nililopo tuna mpa mtu inj: 3 kila masaa 8 ya mwsho saa 24 then ana endlea na ALU. Kama syo ku mtundikia quinine iv.
Pole sana,ila ulipata huduma njema kabisa
 
L
Labda niongezee kitu hapo mkuu. Ina wezekana treatment aliyo pewa ili kuwa sahihi na parasite walisha kufa. Lakn kwakuwa vipimo vingi vinavyo tumika kwnye hosptal nyingi ni MRDT antgen bado zita kuwepo ivyo ita kuwa +ve bado.. so kuna uwezekano akawa amepewa dawa juu ya dawa. Lakin yote ya yote ilikuwa niku hakikisha mtoto ana pona.
 
hapa ndo nataka ufafanuzi kati ya severe malaria na complicated malaria
Kwa shule yangu ndogo severe malaria ndio complicated malaria. Nimetoa reference yangu ya chuo- muhimbili hapo juu. Sijawahi ona tofauti. Ni sawa na kusema imminent eclampsia na severe eclampsia or severe pre-eclampsia.
 
Hiyo ni regimen hakika wala hawakubahatisha.they did better.
 
Pitia hii mkuu wangu
Nimepitia ingawa ni kwa haraka haraka we are just in same tunnel. Isome kwa utulivu mwishoni inakupa description of complicated malaria mostly is when theres CNS involvement. Nikitulia ntaipitia kwa utulivu
 
Kwa shule yangu ndogo severe malaria ndio complicated malaria. Nimetoa reference yangu ya chuo- muhimbili hapo juu. Sijawahi ona tofauti. Ni sawa na kusema imminent eclampsia na severe eclampsia or severe pre-eclampsia.
Nakubaliana na wewe kwenye classification ya malaria tu, ila hapo kwenye classification ya HTN in pregnancy nakataa. Hivyo vitu vitatu ni tofauti kabisa mkuu. Rejea vitabu hasa kwenye clinical features na lab findings.
 
Kama tafiti ya kisayansi kweli imefanyika na kutengeneza mwongozo inakuweje SP itumike miaka 4 tu iwe haifai, Amodiaquine pia ikae muda mfupi tu nayo ishindwe kutibu, Utafiti gani huo? Who is WHO? Nilipata kusikia (No reference) kuwa kuna mtu alifanya utafiti akagundua Chloroquine haitibu tena lakini kuna maduka na watu (No reference) wanatumia chloroquine hadi leo na wanapona. Hata mimi ndio ilikuwa dawa yangu ijapo inaleta uchovu mwingi ila inatibu. Wakati mwingine wazungu wanatufanyia biashara sana. Wachina walikuja na artemether ikawa inatibu lakini wazungu wakaona soko lao limetekwa wakalalamika ikabidi wakubaliane piperaquine iongezwe iwe Duo- na iwe lazima kutumia mseto na hivyo 50% mchina na 50% mzungu (Mfaransa?). Nahakika ikipatikana dawa ya kutibu au chanjo ya malaria hapahapa kwetu watatuambia haifai ili tuendelee kuwa soko na serikali watalisimamia hilo na police.
 
Mkuu ume jaribu kuona wali mpa injction ngap hapo mdau..? Ok yote ya yote Tz hatuna formular tuna lipua mambo. Ila kwa eneo nililopo tuna mpa mtu inj: 3 kila masaa 8 ya mwsho saa 24 then ana endlea na ALU. Kama syo ku mtundikia quinine iv.
kwa jinsi unavyochangia sitakushangaa kabisa kweli utakuwa ni lipua lipua,ila kuna ambao wanajua walifanyalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…