ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Ukienda kwenye tovuti za benki kuu, majarida, matangazo au habari zinazohusu fedha, mara nyingi utakuta picha ya noti imeandikwa neno kubwa la "SPECIMEN" katikati.
mbona vitu vingine vya thamani kama magari, nyumba, dhahabu,hati n.k picha zake huonyeshwa kama zilivyo bila kuhaririwa.na sio kwa tanzania hii ni kwa duniani kote .Wadau wenye uelewa wa masuala ya fedha, usalama wa noti na sheria za uchapishaji, tusaidieni.