Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Anayejiita Dk ilihali u daktari wake ni wa mashaka bwana Rafael Chegeni mapema mwezi uliopita aliteuliwa awe RC Mara ajabu kabla ya masaa ya uapisho wake uteuzi wake ulitenguliwa pasina kusemwa sababu leteleza.
Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa kilitokea kwa bwana yule na kupelekea utenguzi ule.
Je,ni kipi kilisababisha kutenguliwa kwake?
Kwa wingi wa wajuvi humu jf pengine huenda wapo walio na ufahamu wa kipi hasa kilitokea kwa bwana yule na kupelekea utenguzi ule.
Je,ni kipi kilisababisha kutenguliwa kwake?