sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Znz chini ya sultani, ilikuwa koloni la Oman miaka mingii, so wazenji wengi mahaba yao yapo hukoNimekuwa nikiona raisi wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.
Kwa anaejua japo hata kidogo ningependa kujua nini hasa kipo nyuma ya pazia
Znz chini ya sultani, ilikuwa koloni la Oman miaka mingii, so wazenji wengi mahaba yao yapo huko
Yaani wabongo bhana.... mbona kutwa tukiisifia USA, UK na nchi nyingi za Ulaya ambazo zilikuwa ni Wakoloni wetu na hatuoni shida????Nimekuwa nikiona raisi wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.
Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na kwa sasa watawala wa Oman ni ndugu wa Sultan aliyepinduliwa 1964 kwenye mapinduzi ya Zanzibar.
Ila leo pia nimeona hii nchi nayo ipo mbioni katika kinyanganyiro cha kujenga bandari ya Bagamoyo.
Kwa anaejua japo hata kidogo ningependa kujua nini hasa kipo nyuma ya pazia.
Hao kina Uk, Usa, France, nk ni super powers zenye influence kubwa sana.Yaani wabongo bhana.... mbona kutwa tukiisifia USA, UK na nchi nyingi za Ulaya ambazo zilikuwa ni Wakoloni wetu na hatuoni shida????
Haya makengeza mpaka kwenye kufikiri yatatulemaza akili zetu...
Unataka Ufaransa iwe na influence kubwa kwa Zanzibar kuliko Oman ?!!!Hao kina Uk, Usa, France, nk ni super powers zenye influence kubwa sana.
Taabu ipi hapo kwa Oman.
Matusi ndiyo hulka yako.....Kwani wewe hujui mama ni dalali kutokea Zenji?
Kwanza ungejifunza historia ya Zanzibar kabla ya kutuletea hisia zako koko zilizoujaza moyo wako na zilizo kinyume na UHALISIA wa unayotaka kutufafanulia hapa.....Hawa waZenj wamepumbazwa sana na vijizawadi wanavyopewa kutoka kwa watawala wa Oman ambao ni ndugu wa Sultan aliyepinduliwa 1964!! Sijui kwanini wanadhani hawa waliopinduliwa na sasa wako Oman hawataki kurudisha kile ambacho wanaamini walinyang'anywa? Mimi naona wanawakula timing tu siku moja mtakuja kukuta manowali iko nje ya Bandari wanayojenga na hapo ndiyo mtakapojua kunyoa au kusuka?
Acha kuwa na akili potofu unakumbuka wakati wa utawala wa awamu ya kwanza chini ya Waziri Mkuu Salim Ahamed Salim Tanzania ilipewa misaada mikubwa kutoka Oman.Nimekuwa nikiona raisi wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.
Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman...
Ni chuki tu iliyomjaa....Acha kuwa na akili potofu unakumbuka wakati wa utawala wa awamu ya kwanza chini ya Waziri Mkuu Salim Ahamed Salim Tanzania ilipewa misaada mikubwa kutoka Oman.
Tatizo la watu kama wewe ni kuona Rais anatoka Zanzibar.
ππππππHao kina Uk, Usa, France, nk ni super powers zenye influence kubwa sana.
Taabu ipi hapo kwa Oman.
Umemaliza mjadala.Kwako wewe mzanzibari ni mtanzania nusu asiyestahili kuwa RAIS wa taifa hili....
Sijui ujinga +upumbavu huo ni elimu uliyofundishwa?...
Inawezekana pia kukawa na ndugu zake huko, kama wajomba hivi!Inawezekana anaanda mazingira ya hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa , upinzani ukichukua nchi.
Shida inaanzia kwenye shule za kata zinazalisha vijana wenye uelewa mdogo sana mambo though sio wote, vijana wa leo hawafikilii kingine zaidi ya ushabiki na mihemko ya mambo, pia mizizi ya umaskini na kutoka kwenye familia za kichawi inachangia kuwa na vijana ambao upeo wao umeegemea kwenye chuki, husda na wivu.Kwako wewe mzanzibari ni mtanzania nusu asiyestahili kuwa RAIS wa taifa hili....
Sijui ujinga +upumbavu huo ni elimu uliyofundishwa?...π