Shida inaanzia kwenye shule za kata zinazalisha vijana wenye uelewa mdogo sana mambo though sio wote, vijana wa leo hawafikilii kingine zaidi ya ushabiki na mihemko ya mambo, pia mizizi ya umaskini na kutoka kwenye familia za kichawi inachangia kuwa na vijana ambao upeo wao umeegemea kwenye chuki, husda na wivu. Angalizo, hivi sasa kuna plotting conspiracy nyingi sana ambavo zinaonekana wazi kumchonganisha Rais as an individual na wananchi wake hivyo vijana tuingalie Tanzania yetu ya kesho, tujitambue na tujue wajibu wetu kwa ajili ya taifa letu