Kipenda roho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 488
- 939
Znz chini ya sultani, ilikuwa koloni la Oman miaka mingii, so wazenji wengi mahaba yao yapo huko
Zanzibar ndio ilikua makao makuu ya Sultanate of Oman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Znz chini ya sultani, ilikuwa koloni la Oman miaka mingii, so wazenji wengi mahaba yao yapo huko
Shida inaanzia kwenye shule za kata zinazalisha vijana wenye uelewa mdogo sana mambo though sio wote, vijana wa leo hawafikilii kingine zaidi ya ushabiki na mihemko ya mambo...
😂😂😂Yalipindua utawala halali wa wazenj na kuwafanya koloni la Tanganyika.
Hapana, Tanganyika ndio ilioandaa nakutekeleza huyo Okelo alikodiwa tu.😂😂😂
Lkn yale mapinduzi hayakufanywa na Tanganyika..
Yaliteketezwa na shujaa mwanamapinduzi Mganda John Okelo, baadaye mzee Karume akakabidhiwa usukani.
Hayo ya kugeuka koloni la chama pendwa (a.k.a Tanganyika), waliingia kingi baadaye😊
I agree, let us think outside the box. Oman ni ndugu zetu, potentially we can form strong alliance in the Indian Ocean Region. I been to Dubai and Oman several times: you feel at home utakuta watu wanakunywa ghahawa wanaongea Kinyamwezi.Yaani wabongo bhana.... mbona kutwa tukiisifia USA, UK na nchi nyingi za Ulaya ambazo zilikuwa ni Wakoloni wetu na hatuoni shida?...
😂😂Hapana, Tanganyika ndio ilioandaa nakutekeleza huyo Okelo alikodiwa tu.
Ntakachokwambia kwa kifupi ni hiki people spend three years kusoma ‘oil and gas management’ degree.Nchi zinazozalisha Nishati zipo kibao . Wao wakuwa privileged kwasababu hawana mbadala zaidi ya mafuta. Hawana ardhi ya kilimo zaidi ya mafuta. Mataifa mengi duniani hasa ya American, Ulaya na Asia Yana reserved kubwa ya mafuta . Miaka ya baadae mataifa yaliyo na uchumi mkubwa yapo katika mpango wa kuaachana kutumia mafuta mbadala ni kutumia umeme ili kupunguza gesi ya ukaa. Ila wanachojitahidi ni kusimamia vilivyo rasilimali walizonazo
Huyo hajui asimamie wapi njaa inamwambia sifia, conciseness inamsuta mama yake mbona kama anavurunda sana.Mkuu,
Kwani Jumbe Brown anasemaje juu ya hilo?
80% not true kabisa. Kuna nchi kibao Africa they have also oil reserves but wameshindwa kusimamia vizuri na wananchi wake ni masikini especially Angola n k .Ntakachokwambia kwa kifupi ni hiki people spend three years kusoma ‘oil and gas management’ degree.
National Security strategy ya nchi yoyote ambayo ni world power priority number one ni energy security (i.e supply of oil and gas). Unataka kujua why jifunze kuhusu vita ya Arab, Israel war mafuta yalipotumika kama silaha.
Sasa watu washajifunza na kuelewa 80% ya energy supply hipo Middle East.
Narudia tena why I told you kuna umuhimu wa uelewa ‘oil and gas management’ kabla ya kuzungumzia; sasa mtu mwenye hiyo shahada an ajifunza na mbinu za ku faze out reliance ya carbon energies kabla ya kutafuta ugomvi na wazalishaji and trust me there is a lot of planning kabla ya kukurupuka.
Maswala ya Oil Gas kuyazungumzia inabidi uyaelewe kwa upana wake, na sio siasa za third world kwa upana wake. Hila ukiyaelewa kwa West ni issue very sensitive sio ya kuropoka ovyo there are lots of factors to consider and mitigation measures to pursue.
Nchi ambayo watu wanaweza toboa pipe la mafuta na kuiba na usalama wa taifa wasione shida, hiyo sio nchi iliyojipanga kwenye national security.
That is to say believe or not, without disrespecting you hayo mambo unayotaka kuyaongelea sio size yako.
Sum-up what region has the most reserves.80% not true kabisa . View attachment 2153610
kama limeendelea kiteknolojia ya kijeshi hao milioni kumi mbona wengi tuYaani wabongo bhana.... mbona kutwa tukiisifia USA, UK na nchi nyingi za Ulaya ambazo zilikuwa ni Wakoloni wetu na hatuoni shida????
Haya makengeza mpaka kwenye kufikiri yatatulemaza akili zetu..
Siku hizi naona umeanza kuwa na nguvu ya kumkataa "Mama".Safi sana.Inawezekana anaanda mazingira ya hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa , upinzani ukichukua nchi.
Acha uongo....Sasa hivi Zenj ni koloni la Tanganyika wazenj wote hawapendi jambo hilo ila hawana jinsi.
Utumwa kwa nani ?!!Achana na akili za kitumwa na tegemezi
Leo ni 17/3/2022. Siku tuliyopata msiba wa kitaifaSiku hizi naona umeanza kuwa na nguvu ya kumkataa "Mama".Safi sana.
Nchi zote duniani zinategemeana kwa namna moja au nyingine, hata tajiri huwa anahitaji masikini wakamzike !Nchi za uarabuni zote sio first world countries ni dependant Kwa mataifa ya magharibi kiuchumi wao..
Na sisi watanganyika mabwana zetu waingereza ??! Au !!Kwani hujui kuwa wazanzibari mabwana zao ni wa-Oman.
Mabwana Oman, Watwana Zanzibar
Sisi ni "masela' hatuna bwana, ila tuna binti anaitwa Zanzibar.Na sisi watanganyika mabwana zetu waingereza ??! Au !!