Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

Nimekuwa nikiona raisi wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.

Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman.

Ila leo pia nimeona hii nchi nayo ipo mbioni katika kinyanganyiro cha kujenga bandari ya Bagamoyo.

Kwa anaejua japo hata kidogo ningependa kujua nini hasa kipo nyuma ya pazia.
Kwani kuna ajabu gani Uingereza kuwa na mahusiano mazuri pia na Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) maana walitawala hizi nchi miaka ile !! Ufaransa pia wana mahusiano mazuri na nchi zote walizopata kuzitawala ! Kwa taarifa tu hata hayati Mwl Nyerere alikuwa na mahusiano mazuri sana na Nchi ya Oman !!
 
Nimekuwa nikiona raisi wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.

Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman...
Nchi za uarabuni zote sio first world countries ni dependant Kwa mataifa ya magharibi kiuchumi wao..
 
Nimekuwa nikiona raisi wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.

Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman.
...
Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman.

Unatakiwa Kusoma Vizuri (Masultani wengi ni wazawa wa Zanzibar )
 
Hizi ndio siasa za ovyo na zinazochangia kulisha ujinga kwenye jamii; haswa kwa wafuatiliaiji ovyo wa siasa, kama wafuasi wa CDM.

MoU ya bandari ya Bagamoyo ilikuja kipindi cha J.K, main investor ni mchina wakati Oman ni subsidiary tu kwenye mkataba.

Mama Samia kayakuta tu hayo mambo ya bandari she has nothing to do with investors plans and the beginnings of the contract negotiations.

Hata kama mama alijiita bibi wa kiarabu, hiyo ni desturi yao huko visiwani ndio wanavyojiona, other than that bandari is a national debate issue, huo sio mzigo wake.

Kwa uhalisia bandari ya Bagamoyo sio option, ni jambo la lazima kwa muktadha wa economic benefits za taifa, issue is how do we fund it to maximise return.

The woman is innocent on many levels but very naive, on that note seriously people get rid of this woman come 2025.
 
Nchi za uarabuni zote sio first world countries ni dependant Kwa mataifa ya magharibi kiuchumi wao..
Its vice versa hivi unajua hizo nchi za kiarabu zikijipanga na kusema awatoi nishati zao popote uchumi wa dunia utakavyoathirika.

80% ya nishati duniani zipo Middle East wakisema waungane kuitesa dunia, mziki wake ni mnene kweli kweli.
 
Nimekuwa nikiona raisi wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.

Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman.

Ila leo pia nimeona hii nchi nayo ipo mbioni katika kinyanganyiro cha kujenga bandari ya Bagamoyo.

Kwa anaejua japo hata kidogo ningependa kujua nini hasa kipo nyuma ya pazia.
Zanzibar haijawahi kuwa koloni la Oman NDUGU
 
Hivi unajua hizo zikijipanga na kusema awatoi nishati zao popote uchumi wa dunia utakavyoathirika.
Nchi zinazozalisha Nishati zipo kibao . Wao wakuwa privileged kwasababu hawana mbadala zaidi ya mafuta. Hawana ardhi ya kilimo zaidi ya mafuta. Mataifa mengi duniani hasa ya American, Ulaya na Asia Yana reserved kubwa ya mafuta .

Miaka ya baadae mataifa yaliyo na uchumi mkubwa yapo katika mpango wa kuaachana kutumia mafuta mbadala ni kutumia umeme ili kupunguza gesi ya ukaa. Ila wanachojitahidi ni kusimamia vilivyo rasilimali walizonazo
 
Nimekuwa nikiona raisi wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.

Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman.

Ila leo pia nimeona hii nchi nayo ipo mbioni katika kinyanganyiro cha kujenga bandari ya Bagamoyo.

Kwa anaejua japo hata kidogo ningependa kujua nini hasa kipo nyuma ya pazia.
Ana-recruit future wajilipuaji
 
That is not to say watu wasijipange kumtoa mama 2025 simply because she has no agenda nor understands how to evolve a nation; anaenda tu kama gari bovu.

She is innocent but people serious get rid of this woman.
Mkuu,
Kwani Jumbe Brown anasemaje juu ya hilo?
 
Nimemkumbuka Jamaa aliemwamini PAULO kisha akalizwa!
 
wazenji wengi wanaamini asili yao ni oman
 
Back
Top Bottom