Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

Tatizo letu kubwa tumegawanyika,
Wako wanaofikiri kikristo na wako wanaofikiri kiislam. Tunaofikiri kiasili tumebaki wachache sana.

Wanaofikiri kikristo wanaona Umagharibi ni Bora na kutwa kucha wanavutiwa na Kila cha magharibi kama kuvaa, lugha zao, kula kwao, vitu vyao, na kipimo cha kuendelea Ni kuwa kama wamagharibi.

Wanaofikiri kiislam wanaona Uarabu ni ustaarabu, kujua kiarabu ni kuwa jirani na Mungu. Kuvaa kanzu na barghashia ni kilele cha heshma, etc. Wanajisikia kuwa waarabu.

Tunaofikiri kiasili tunawaona wote hayo makundi mawili ni binadamu sawa na binadamu yeyote duniani. Tunaisoma historia katika jicho la mapambano. Tunaona tunahitaji kupambana zaidi ya kulalamika Kila muda. Tunaangalia fursa kokote.

Kwa ufupi. Siku nyingine nitaandika zaidi

Hiyo historia unaisoma kitabu gani cha asili?
 
Usiingize mambo ya dini!! Hilo ndiyo kimbilio lenu mnapoishiwa hoja!! Uislam wako unaingiaje hapo?

Ndiko nyinyi wakristo liliko kimbilio lenu, usijaribu kubabsisha bure
 
Zanzibar, haijawahi kuwa koloni la Oman au koloni la yeyote, bali mwaka 1732, Sultan Sayyed Said wa Oman, aliihamishia the Sultanet yake kutoka Oman na kuihamishia Zanzibar.

Wakati wa Mkutano wa Berlin kuigawa Africa, Zanzibar haikugawia, iliachwa kwa Sultan of Zanzibar. Hivyo Zanzibar has never been colonized.
P

Mimi hushangazwa sana Na akili ndogo sana za waTanganyika. Hivi Tanganyika lote lenye kuingia zaidi ya Zanzibar 1000 kuwa mnashindwa kufikiria kuinua hali zenu Za maisha Na maeneo yenu ,mnapoteza muda kuifikiria Zanzibar . Hivi Nani aliwaroga viumbe nyinyi hata mnaweweseka Na Zanzibar muda wote Na kuisahau nchi yenu?
 
Hatuweweseki na Zanzibar, kwasababu Zanzibar ni yetu, ni sehemu ya Tanzania. Hapo kabla wenyeji asili na halisi wa Zanzibar ni Wamatumbi, Wakwezi na Wahadimu, Sultan Sayyed Said alipohamishia Sultanate yake toka Oman kuja Zanzibar, it's as if, visiwa hivyo havikuwa na wenyewe, hivyo aliviokota kama ameokota dodo chini ya mwembe!.
Ndipo Ile January 12, wenye Zanzibar yao, wakafanya yao. Wanaoweweseka ni wale wanaodhani Zanzibar ni Yao, kumbe kiukweli na kiuhalisia Zanzibar ni yetu!.

Ndiyo mawazo yenu mgando yalipo hapo , Kuna mmatumbi gani anayeongea kitumbatu,kimakunduchi , kikojani nk . Kwa akili hizo mwisho Wake ndiyo mkatawaliwa Na wanawake
 
Zanzibar, haijawahi kuwa koloni la Oman au koloni la yeyote, bali mwaka 1732, Sultan Sayyed Said wa Oman, aliihamishia the Sultanet yake kutoka Oman na kuihamishia Zanzibar.

Wakati wa Mkutano wa Berlin kuigawa Africa, Zanzibar haikugawia, iliachwa kwa Sultan of Zanzibar. Hivyo Zanzibar has never been colonized.
P
Na yale mapinduzi yalikua ya nini..na kwanini aje akae sehemu sio yake na kuweka utawala wake huo huo ni ukoloni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ndiyo mawazo yenu mgando yalipo hapo , Kuna mmatumbi gani anayeongea kitumbatu,kimakunduchi , kikojani nk . Kwa akili hizo mwisho Wake ndiyo mkatawaliwa Na wanawake
Hadi huruma unavyoteshwa na chuki ambazo zinaishia kwenye keyboard..cha msingi fanya tu ukajiripue ili ukaione pepo..ila kuhusu Tanganyika kuikalia zenji hili ni suala endelevu na la maisha..kilichobaki ni kuhakikisha tunaondoa na kupunguza kabisa walete chokochoko kama wewe.

Ila Tanganyika kuondoka zenji hilo sahau maisha.

Kama mnaendelea kujidanganya kuwa Tanganyika itaitawala Zanzibar maisha hizo ndio akili zenu ndogo zilivyo , mnaweweseka Na ugonjwa wa Zanzibar Na kusahau jinchi lenu , kwa akili hii wacha mzanzibari mwanamke awatie vidole awanyooshe mtulie labda mtapata akili ya kukumbuka chenu mlichopewa Na Mungu
 
Na yale mapinduzi yalikua ya nini..na kwanini aje akae sehemu sio yake na kuweka utawala wake huo huo ni ukoloni.

#MaendeleoHayanaChama
Mavamizi unaita Mapinduzi, ndio mwisho wa akili zenu zilipo, hata huruma inakuwa vigumu kuwaonea
 
Nimekuwa nikiona Rais wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman.

Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman.

Ila leo pia nimeona hii nchi nayo ipo mbioni katika kinyanganyiro cha kujenga Bandari ya Bagamoyo.

Kwa anaejua japo hata kidogo ningependa kujua nini hasa kipo nyuma ya pazia.
Tuweke mambo sawa. Kuhusu Bagamoyo Port kabla Dikteta Magufuli hajai abandon, ilikuwa ni tripartite agreement kati ya Tanzania, China na Oman.

Kama inarudi kujengwa siyo kwa sababu ya Samia ana connection na Serikali ya Oman bali ni merits za mkataba.
 
Kiufupi tu ana ndugu zake wengi tu ambao ni Raia wa Oman.
 
Kiufupi tu ana ndugu zake wengi tu ambao ni Raia wa Oman.
Hilo linawakata maini , wamenyweshwa sumu ya kanisa kuwa waomani ni maadui wala hawataki kutoka nje ya box . Ni msiba mkubwa sana ,huku Yule kipenzi Chao mwendazake alikuwa akiwaomba Waomani wawachimbie Visima mashuleni. Baniani mbaya kiatu Chake dawa
 
Wiki mbili zilizopita alifarik mtoto wa dada ake, baadhi ya ndugu zake wa Oman walikuja na wengine walihani msiba huko huko. Mie ni mtanzania kwa kuzaliwa ila baba yangu hadi leo ni raia wa Oman japokuwa kaishi miaka mingi hapa Tz.
 
Shukrani, Mimi ni Mzanzibari Na kwa uraia ni Mzanzibari wala sina uraia wa Tanganyika inayoitwa Tanzania. Wala utanzania siutaki.
Watu wenye asili ya Oman tumeishi nao Na hawa wahamiaji wa Tanganyika tumeishi nao Na tumeona Na tunaona tofauti zao.
Yaliyotupata wakati wa mavamizi hayasemeki. Wamewauwa jamaa zetu wengi kwa sababu Tu ni waarabu tena masikini.
Tunaona kila baada miaka mitano wanavyouwa , kunajisi kutia vilema ili wamweke kibaraka wao. Sijui wanamfanyia mu Omani ? Inasikitisha
 
Ndiyo mawazo yenu mgando yalipo hapo , Kuna mmatumbi gani anayeongea kitumbatu,kimakunduchi , kikojani nk . Kwa akili hizo mwisho Wake ndiyo mkatawaliwa Na wanawake
Mkuu Jagina , wewe ni mjinga tuu, kuitwa mjinga sio kutukanwa bali ni kutojua, ukiisha elimishwa, ujinga unakutoka unakuwa mwerevu, hivyo unachohitaji wewe ni elimu tuu.

Nimejitolea kukuelimisha bure.
  1. Lugha huzaliwa na hugs kutokana na mazingira na mahusiano, circumstances.
  2. Waarabu wa Oman, walipoivamia Zanzibar na kuitwaa kwa kuipokea toka kwa Mwinyimkuu, walikuta Wamatumbi wakiongea kimatumbi.
  3. Muingiliano wa lugha ya Kiarabu na Kimatumbi ndio ikafanya kuzaliwa lugha ya Kiswahili, Kishirazi, Kipemba, Kimakunduchi, Kikojani, Kingazija, Kitumbatu, Kimombasa, Kimafia, Kipate, Kisofala, etc.
  4. Zanzibar Mtu ukizaliwa mahali, ukakulia mahali, utazungumza lugha ya hapo mahali.
  5. Huko kutawaliwa na Mwanamke, sio sisi ndio tunatawaliwa na Mwanamke, mwanamke ni mtawala asili, Tangu Adamu alitawaliwa na Eva/Hawa. Farao alitawaliwa na Malikia Cleopatra, Mfalme Daudi alitawaliwa na mke wa Uriah, Mfalme Suleiman alitawaliwa na Queen of Sheba, Samsoni alitawaliwa na Delilah.
  6. Kutawaliwa na Mwanamke Raha!. Angalia sasa jinsi Tanzania ilivyo na Raha?!.
  7. Tena kiukweli Mama anatupa raha Sana!, kuna akina sisi tulimpenda tangu zamani, hata kabla hajawa rais na tukasema humu Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
  8. Tuko watu humu, tulimkubali huyu Mama hata kabla hajawa rais Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
  9. "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
  10. Tunakwenda, Tanzania inampenda, Watanzania tunampenda.
P
 
Kwani ni kipi nilichopotosha hapo mkuu wangu 'dos.2020? Mimi nimeuliza swali baada ya kutoelewa ulichoandika wewe, halafu sasa unanigeuzia kibao kwamba ninapotosha?

Hawa 'machotara' ndio waarabu wa Oman, au huko Oman kuna waarabu asilia kama zilivyo nchi nyingine za kiarabu? Watu hawataki kulijibu hili swali, sijui kwa nini?
Hebu tusaidie wewe mkuu 'dos.2020, kama unayaelewa vizuri haya mambo.

Nilichojibu mimi ni ile hoja ya kipuuzi kuwa waafrica walikua hawaruhusiwi kuowa watu weupe kitu ambacho sio sahihi, Na ndio nikatoa huo mfano wa Rais karume, Mzee karume alio chotare ambaye ndie mama yake Amani Karume na iliku no before revolution , mana Amani Karume amezaliwa early 50's.

Kwenye mambo ya msingi kuanza kuleta hoja za kipuuzi ni aibu sana
 
Mkuu, kuna uzi humu humu JF unaosema, waarabu walipokuja Zanzibar, visiwa hivyo havikuwa na binaadam hata mmoja. Iliwalazimu waarabu wakatafute wafanya kazi ng'ambo ya pili, bara, ndipo pakawepo na watu weusi huko visiwani.

Aaah, yaani unasema waarabu wanajuwa kula na kipofu, au siyo!

Kuna kitu kimoja hua kinawapa watu wengi shida, ni ile kuchanganya ujio wa Ufalme wa kiarabu na Ujio wa waarabu. hivyo ni vitu viwili tofauti, Waarabu wapo Zanzibar kwa zaidi ya miaka elfu nyuma.
 
Sijui kama kuna watu walishashuhudia hili, lakini ngoja niliweke hapa, pengine kwa mara ya KWANZA kabisa.

Zanzibar (mji) ni kama kitongoji (suburb) ya Jiji la Dar es Salaam.

Kama ulishawahi kusafiri kwa ndege usiku, toka Zanzibar kuja Dar, ukiangalia taa za Zanzibar mjini ni kama zimeshikana na zile za Dar. Haichukui muda unatua kwenye mji huo huo ulioondokea!

Mkuu hilo ni tatizo la kiakili linalokutesa, Kuwa Zanzibar ipo karibu na Dar haihalalishi Zanzibar kuwa part ya Dar au Tanganyika.

Unaweza kutembea kwa miguu ukiwa eneo La Netherlands kama ni mgeni ukashituliwa tu ukaambiwa sasa hivi upo Germany bila ya kujijua.
 
Ndio taabu yako hujui historia ya kisiwani ,unaniuliza BARAGASH ni nani? Nenda house of Wonders hapo Stone town ukawaulize eti huyu mwarabu alikuwa anaitwa BARAGASH alikuwa ni nani Zanzibar? Bila shaka watakuelimisha halafu urudi useme alikuwa ni nani!

Historia ya Zanzibar huwezi kuipata House of Wonders, Utakachokipata pale ni propaganda za ovyo za CCM
 
Back
Top Bottom