Hatuweweseki na Zanzibar, kwasababu Zanzibar ni yetu, ni sehemu ya Tanzania. Hapo kabla wenyeji asili na halisi wa Zanzibar ni Wamatumbi, Wakwezi na Wahadimu, Sultan Sayyed Said alipohamishia Sultanate yake toka Oman kuja Zanzibar, it's as if, visiwa hivyo havikuwa na wenyewe, hivyo aliviokota kama ameokota dodo chini ya mwembe!.
Ndipo Ile January 12, wenye Zanzibar yao, wakafanya yao. Wanaoweweseka ni wale wanaodhani Zanzibar ni Yao, kumbe kiukweli na kiuhalisia Zanzibar ni yetu!.
P
Mkuu unheshimika punguza kuropokwa, Unawafahamu Wahadimu ni nani hasa? Ni watumwa waliotoka bara ambao walikuwa wakifanyakazi kwenye mashamba ya Waarabu. Sasa inakuaje leo utwambie kuwa wao ndio wenye asili halisi?