Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

Hatuweweseki na Zanzibar, kwasababu Zanzibar ni yetu, ni sehemu ya Tanzania. Hapo kabla wenyeji asili na halisi wa Zanzibar ni Wamatumbi, Wakwezi na Wahadimu, Sultan Sayyed Said alipohamishia Sultanate yake toka Oman kuja Zanzibar, it's as if, visiwa hivyo havikuwa na wenyewe, hivyo aliviokota kama ameokota dodo chini ya mwembe!.
Ndipo Ile January 12, wenye Zanzibar yao, wakafanya yao. Wanaoweweseka ni wale wanaodhani Zanzibar ni Yao, kumbe kiukweli na kiuhalisia Zanzibar ni yetu!.
P

Mkuu unheshimika punguza kuropokwa, Unawafahamu Wahadimu ni nani hasa? Ni watumwa waliotoka bara ambao walikuwa wakifanyakazi kwenye mashamba ya Waarabu. Sasa inakuaje leo utwambie kuwa wao ndio wenye asili halisi?
 
Hadi huruma unavyoteshwa na chuki ambazo zinaishia kwenye keyboard..cha msingi fanya tu ukajiripue ili ukaione pepo..ila kuhusu Tanganyika kuikalia zenji hili ni suala endelevu na la maisha..kilichobaki ni kuhakikisha tunaondoa na kupunguza kabisa walete chokochoko kama wewe.

Ila Tanganyika kuondoka zenji hilo sahau maisha.

#MaendeleoHayanaChama
Acha kuandika maneno ya uchokozi na uchochezi humu. Nilishakupa mfano Ufaransa ilikalia Algeria miaka 140 na hao Wafaransa walifikiri wataitawala Algeria maisha lakini mwishowe walitimuliwa na vibaraka wao walinyongwa. Na Ufaransa ni taifa kubwa kama walishindwa kukalia nchi maisha nyie machogo mtaweza?
 
Mkuu Jagina , wewe ni mjinga tuu, kuitwa mjinga sio kutukanwa bali ni kutojua, ukiisha elimishwa, ujinga unakutoka unakuwa mwerevu, hivyo unachohitaji wewe ni elimu tuu.

Nimejitolea kukuelimisha bure.
  1. Lugha huzaliwa na hugs kutokana na mazingira na mahusiano, circumstances.
  2. Waarabu wa Oman, walipoivamia Zanzibar na kuitwaa kwa kuipokea toka kwa Mwinyimkuu, walikuta Wamatumbi wakiongea kimatumbi.
  3. Muingiliano wa lugha ya Kiarabu na Kimatumbi ndio ikafanya kuzaliwa lugha ya Kiswahili, Kishirazi, Kipemba, Kimakunduchi, Kikojani, Kingazija, Kitumbatu, Kimombasa, Kimafia, Kipate, Kisofala, etc.
  4. Zanzibar Mtu ukizaliwa mahali, ukakulia mahali, utazungumza lugha ya hapo mahali.
  5. Huko kutawaliwa na Mwanamke, sio sisi ndio tunatawaliwa na Mwanamke, mwanamke ni mtawala asili, Tangu Adamu alitawaliwa na Eva/Hawa. Farao alitawaliwa na Malikia Cleopatra, Mfalme Daudi alitawaliwa na

Mimi nilifikiri alau umesoma kidogo ukaelimika ,hivi mnyamwezi gani aliyekuja Zanzibar akawa haongei kinyamewezi anaongea kimakunduchi?
Hivi Hiyo akili yako sijui niite upumbavu au ujinga?

Hivi ushirazi Na umatumbi wapi Na wapi ?

Hivi wewe mkatoliki unaye Padri au askofu mwanamke ? Kwa nini hamna Huo utaratibu. Wacha mnyooshwe Na mwanamke Mzanzibari kwa ujinga Na upumbavu wenu. Na toka mnapo amka mpaka mnalala ni Zanzibar tuuuu.

Hiyo Tanganyika yenu ni takataka hamna haja nayo?
 
Kuna kitu kimoja hua kinawapa watu wengi shida, ni ile kuchanganya ujio wa Ufalme wa kiarabu na Ujio wa waarabu. hivyo ni vitu viwili tofauti, Waarabu wapo Zanzibar kwa zaidi ya miaka elfu nyuma.
SAWA.

Kwa hiyo na wewe unathibitisha kwamba waarabu walipokuja pwani ya Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza kabisa, visiwa hivi havikuwa na mtu hata mmoja mswahili?

sasa unapoongeza hili la ujio wa sultan kuwa tofauti na ule wa waarabu wengine wa mwanzo, hapo unazidi kuchanganya zaidi ile stori ya mwanzo, ya mfalme wa Oman kuingia kwenye visiwa hivi.
 
Mkuu hilo ni tatizo la kiakili linalokutesa, Kuwa Zanzibar ipo karibu na Dar haihalalishi Zanzibar kuwa part ya Dar au Tanganyika.

Unaweza kutembea kwa miguu ukiwa eneo La Netherlands kama ni mgeni ukashituliwa tu ukaambiwa sasa hivi upo Germany bila ya kujijua.
Hapana, siyo tatizo la akili hata kidogo, kwa sababu naijuwa Kinshasa ya DRC, ilivyo na Brazaville, kama mfano uliokaribu zaidi ya huo uliouweka wewe.
 
Hapana, siyo tatizo la akili hata kidogo, kwa sababu naijuwa Kinshasa ya DRC, ilivyo na Brazaville, kama mfano uliokaribu zaidi ya huo uliouweka wewe.

Mbona hata Tanganyika Na Kenya au Uganda ,au Msumbiji , Ruwanda , Burundi ni hivyo hivyo?
 
Historia ya Zanzibar huwezi kuipata House of Wonders, Utakachokipata pale ni propaganda za ovyo za CCM
Sawa mwarabu mzenj!! Muelekeze huyo ndugu yako wapi anaweza kwenda akasomeshwa kuhusu Seyyid Baragash!
 
Yaani wabongo bhana.... mbona kutwa tukiisifia USA, UK na nchi nyingi za Ulaya ambazo zilikuwa ni Wakoloni wetu na hatuoni shida????

Haya makengeza mpaka kwenye kufikiri yatatulemaza akili zetu....

Leo hii huwezi kuta familia hapa Tanzania zenye mchanganyiko wa damu kati ya wazawa na Wajerumani au Waingereza meaning walituchukulia kama watumwa na daraja la pili kwao... lakini kwa upande wa Oman ni tofauti meaning wanawaona Zanzibar kama sehemu ya ndugu zao....

KUNA UBAYA GANI WAKISHIRIKI KUWEKEZA HUMU NA KUIMARISHA MASHIRIKIANO YA KIUCHUMI?

TUACHE KUFIKIRI KINYUMENYUME JAMANI...

Oman yenye watu chini ya 10M wanaweza kweli to Overdue the Country of more than 60M? Tutakuwa mazombi siyo bure.
Ndiyo maana naamini katiba mpya itakuja itatokea zanzibar mnaopenda vyeo vya bwerere kwakupora wengine uchaguzi mjiandae kisaikoloji
 
Boti ni njia ya usafiri tu mkuu, hata Kigamboni tunavuka kwa boti!
Kinshasa na Brazaville hakuna boti?

Mbona liko daraja kule Kinshasa nae Brazzaville. ,Kigamboni unaweza kwenda bila kuvuka Na boti, ni uamuzi wako ,lakini Zanzibar huwezi
 
SAWA.

Kwa hiyo na wewe unathibitisha kwamba waarabu walipokuja pwani ya Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza kabisa, visiwa hivi havikuwa na mtu hata mmoja mswahili?

sasa unapoongeza hili la ujio wa sultan kuwa tofauti na ule wa waarabu wengine wa mwanzo, hapo unazidi kuchanganya zaidi ile stori ya mwanzo, ya mfalme wa Oman kuingia kwenye visiwa hivi.

maelezo yako ni ya kinadharia lakini hayana facts, Uwepo wa waarabu kipindo hicho una facts kabisa unaisapoti hiyo hoja. Na kwa kuengezea tu kwa kifupi Watu weusi wa mwanzo kuingia ukanda wa chini wa Africa Mashiriki walitokea ukanda wa Sudan/ Somali/ Ethopia na sio hawa wabantu wanaotokea Tanganyika.
 
Nadharia ina nafasi yake katika mwendelezo wa mambo, kwa hiyo huwezi kuidharau.

Mimi sijauliza weusi wa kwanza kuwepo ukanda huu wa Afrika, hilo ni jambo jipya unaloingiza wewe sijui kwa faida gani. Naona jibu la nilichouliza hunalo, maanake umeachana nalo kabisa na kuandika mambo mengine tofauti kabisa na kilichoulizwa.
 
Shukrani, Mimi ni Mzanzibari Na kwa uraia ni Mzanzibari wala sina uraia wa Tanganyika inayoitwa Tanzania. Wala utanzania siutaki.
Watu wenye asili ya Oman tumeishi nao Na hawa wahamiaji wa Tanganyika tumeishi nao Na tumeona Na tunaona tofauti zao.
Yaliyotupata wakati wa mavamizi hayasemeki. Wamewauwa jamaa zetu wengi kwa sababu Tu ni waarabu tena masikini.
Tunaona kila baada miaka mitano wanavyouwa , kunajisi kutia vilema ili wamweke kibaraka wao. Sijui wanamfanyia mu Omani ? Inasikitisha
Wewe mwarabu koko..pole sana..ila hao hao viongozi wenu ndio mwiba wenu..wala sio watanganyika..watanganyika hua wanaalikwa kuwasaidia waendelee kuwepo madarakani pindi wanapooona ugali wao umekaribia kupokonywa...refer uchaguzi wa 2015 alichowafanyia jecha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acha kuandika maneno ya uchokozi na uchochezi humu. Nilishakupa mfano Ufaransa ilikalia Algeria miaka 140 na hao Wafaransa walifikiri wataitawala Algeria maisha lakini mwishowe walitimuliwa na vibaraka wao walinyongwa. Na Ufaransa ni taifa kubwa kama walishindwa kukalia nchi maisha nyie machogo mtaweza?
Sio uchochezi..huo ndio ukweli..muungano kuuvunja sahauni..myb siku ccm ife.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi nilifikiri alau umesoma kidogo ukaelimika ,hivi mnyamwezi gani aliyekuja Zanzibar akawa haongei kinyamewezi anaongea kimakunduchi?
Hivi Hiyo akili yako sijui niite upumbavu au ujinga?

Hivi ushirazi Na umatumbi wapi Na wapi ?

Hivi wewe mkatoliki unaye Padri au askofu mwanamke ? Kwa nini hamna Huo utaratibu. Wacha mnyooshwe Na mwanamke Mzanzibari kwa ujinga Na upumbavu wenu. Na toka mnapo amka mpaka mnalala ni Zanzibar tuuuu.

Hiyo Tanganyika yenu ni takataka hamna haja nayo?
Umepaniki sana..nakushauri kajiripue tu ukapewe bikra 72 mana ndio unakoelekea..ila kuhusu Tanganyika kuondoka zenji hilo sahau maisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
maelezo yako ni ya kinadharia lakini hayana facts, Uwepo wa waarabu kipindo hicho una facts kabisa unaisapoti hiyo hoja. Na kwa kuengezea tu kwa kifupi Watu weusi wa mwanzo kuingia ukanda wa chini wa Africa Mashiriki walitokea ukanda wa Sudan/ Somali/ Ethopia na sio hawa wabantu wanaotokea Tanganyika.
Tanganyika watu waliokuwepo asilia na mpaka sasa wapo niwahadzabe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe mwarabu koko..pole sana..ila hao hao viongozi wenu ndio mwiba wenu..wala sio watanganyika..watanganyika hua wanaalikwa kuwasaidia waendelee kuwepo madarakani pindi wanapooona ugali wao umekaribia kupokonywa...refer uchaguzi wa 2015 alichowafanyia jecha.

#MaendeleoHayanaChama

Ya jecha , kwa taarifa , Shein alishakubali kushindwa Na hapo hapo Kikwete akaliamrisha jeshi la kivamizi kuzunguka jengo lililokuwa Na tume ya uchaguzi. Wakaingia wakamkamata Jecha kistaili Na kulazimisha arekodi ile clip ya kuufuta uchaguzi.
Haya mambo usifikiri Wazanzibari ni wajinga, yote Kuna siku mtalipa ,namna gani sikumwagii mtama.
 
Umepaniki sana..nakushauri kajiripue tu ukapewe bikra 72 mana ndio unakoelekea..ila kuhusu Tanganyika kuondoka zenji hilo sahau maisha.

#MaendeleoHayanaChama

Mbona bikra kutoka Tanganyika wametujalia tele mpaka wanaume wanatafuta tonge.

Mambo yameiva omba uhai mamlaka kamili yanakuja
 
Back
Top Bottom