Kwanza ukiri kuwa Kilimanjaro siyo mkoa mkubwa.Uko pande ipi ?
Thame?
Maana Kilimanjaro ni mkoa mkubwa,
Umelewa au uko TIMAMU?kukuta kipande cha hivyo una Yoel ezels si ajabu lakini ukweli ni kuwa kwa sehemu kubwa huwa ni kijani na neema.
Mafuso kubeba ndizi ngapi?Mafuso chungu nzima yanabeba ndizi na matunda ingekuwa na ukame kiasi kikubwa ndizi zisingezaliwa.
Ni Kweli mkuu,watz wengi Wana wivuKwa kuwa hakuna ushahidi kuthibitisha kwamba wachaga ni wezi na wakabila, si sahihi kwa mtu yeyote kuwatuhumu hivyo.
Nadhani hii dhana ya wizi na ukabila kwa wachaga inatolewa na watu wanaonea wivu maendeleo yao.
[emoji3][emoji3][emoji3] Huyu ngosha anachekeshaHayo majani makavu yametoka wap? Mpaka majani yanakua makavu means yalianza kuwa ya kijani
Acha kuandika non sense
Ahaaa Sasa kumbe hakuna nyumba za nyasi hapo tumeelewanaUchaggani hakuna nyumba za nyasi Kwasababu hata hizo nyasi za kuezea HAKUNA.
Ila Kuna nyumba kibao za TOPE na Mbao.
Hilo siyo swali, hata Handeni nimekaa, wanajenga nyimba za miti n kuezeka Bati Kwasababu hakuna nyasi
Uchagani nimefika mzee,sijaona hiyo tofauti,hata dar yenyewe utofauti kwa majengo na mikoani ni posta na kariakoo tu, asilimia kubwa nyumba za makazi ni sawa tu na mikoani,Sasa ndo iwe Moshi!!Pole sana unasumbuliwa na chuki
Hujui hâta marekan wapo maskini?
Tunasema uchagan ni tofauti kiuchumi,kimaendeleo , kimakazi NK compare na hko kwenu nyangwale
Uchaggani hakuna nyumba za nyasi Kwasababu hata hizo nyasi za kuezea HAKUNA.
Ila Kuna nyumba kibao za TOPE na Mbao.
Hilo siyo swali, hata Handeni nimekaa, wanajenga nyimba za miti n kuezeka Bati Kwasababu hakuna nyasi
Umevimbiwa udaga weweWanajitahidi sana, lakini Kilimanjaro bado sana, kiukweli haina tofauti na mikoa mingine masikini, hata wasukuma wa Mwanza wamewazidi kwa uzuri wa mkoa wao, wangetumia pesa zao kujenga mabenki, viwanda, kulazimisha miundo mbinu etc nguvu kazi nyingi ingehamia Kilimanjaro na pangeendelea sana, tatizo lingine wana matatizo na ardhi, tatizo wanajenga nyumba nzuri za kuishi lakini wote wanaishi Dar, kumebaki wazee tuu na wafanyakazi wa kufyeka majani kuangalia nyumba zao
Acha kuchekesha mkuuUchagani nimefika mzee,sijaona hiyo tofauti,hata dar yenyewe utofauti kwa majengo na mikoani ni posta na kariakoo tu, asilimia kubwa nyumba za makazi ni sawa tu na mikoani,Sasa ndo iwe Moshi!!
Kuna majumba ya kifahari uchagani!?..kwako jumba la kifahari likoje!?Acha kuchekesha mkuu
Yani majumba ya kifahari Karibu maeneo yote ya uchagani ufananishe na vijumba vya nyasi kule itilima,meatu na namtumbo? Hebu acha matusi tafadhali
NAKAZIA: hasa wa Rombo.Wachaga wako kama wahindi, wanaharibu watoto wao, utakuta mmoja dishi limeyumba huwezi kumjua kirahisi...
Huyo ndio anawapa utajiri...
Kingine ni watu wa kafara za damu za wanyama kwa wafu/mizimu...
Safisha machoKuna majumba ya kifahari uchagani!?..kwako jumba la kifahari likoje!?
Unasumbuliwa na umaskiniNAKAZIA: hasa wa Rombo.
JESUS SAVES
UlitakajeLikes nyingi ni za wachaga![emoji3]
umasikini kivipi. Mimi utoshelevu wangu uko katika MUNGU. siutaki utajiri wa makafara na kuabudu mizimu kama wenu Wachaga na Wakinga.Unasumbuliwa na umaskini
Wewe Makiadi hivyo vibanda na barabara chafu sio maendeleo, ni dalili ya umaskini tuuSafisha macho
Hapa SIO masaki ni uchagan vijijinView attachment 2698667View attachment 2698668View attachment 2698669View attachment 2698670View attachment 2698671
Kahawa. Zao hili lilisimamiwa vizuri wakaweza kujenga shule na miundombinu.ENEO PEKEE WALILOSHINDWA KUFANIKIWA, NI KWENYE NDOA.
NDOA ZAO HAZIDUMU KABISAA.
MAENEO MENGINE WAKO VIZURI
Hayo ndo majumba ya kifahari?!Safisha macho
Hapa SIO masaki ni uchagan vijijinView attachment 2698667View attachment 2698668View attachment 2698669View attachment 2698670View attachment 2698671
Hayo ndo majumba ya kifahari?!