inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
Unyamwezini,usukumani vijijini huko mbona zipo hata zaidi ya hizo,yaani tuuze tumbaku,mahindi na mchele tushindwe kujenga vijumba vya hivyo!?..sisi hatufanyi kazi za kuingiza vishilingishilingi,tukiuza tunapata mlima,tunajenga nyumba za kisasa na gesti juu,nyinyi kazi zenu za kudunduliza ndo unaona nyumba Kama hiyo ni mbaliUwepo wa Nyumba za hivyo kwa maeneo ya vijijini ni fahari kubwa sana.
Niambie ni kijiji gani au vijiji gani utakuta Nyumba zenye hadhi hiyo ukiachana na vijiji vya huko Uchagani?
Hizo utazikuta maeneo ya mijini tu na sio vijijini ndani huko.
Lakini kwa Uchagani kukuta nyumba Kama hizo vijijini sio jambo la kustua.
Ukweli usemwe.
Kijiji cha kagoma wilaya ya Muleba .... Bukoba vijijini....vijiji vya wahaya hiviUwepo wa Nyumba za hivyo kwa maeneo ya vijijini ni fahari kubwa sana.
Niambie ni kijiji gani au vijiji gani utakuta Nyumba zenye hadhi hiyo ukiachana na vijiji vya huko Uchagani?
Hizo utazikuta maeneo ya mijini tu na sio vijijini ndani huko.
Lakini kwa Uchagani kukuta nyumba Kama hizo vijijini sio jambo la kustua.
Ukweli usemwe.
Kijiji cha kagoma wilaya ya Muleba .... Bukoba vijijini....vijiji vya wahaya hivi
Mkatembee aisee....bado mna ushamba Fulani hiv..View attachment 2698912View attachment 2698914View attachment 2698916View attachment 2698917
Sawa....tembelea vijiji vya Kagera hasa vya wahaya...utabadili mindset yako...Kama ni kweli itakuwa ni mmoja kati ya familia 100,
Ingekuwa ziko hivyo kwa wastani Kagera msingeshika mkia kwa maendeleo ya kiuchumi kwa mujibu wa takwimu.
Pia inategemea na upigaji picha.
Sawa....tembelea vijiji vya Kagera hasa vya wahaya...utabadili mindset yako...
Maana huna exposure Tu na mambo ya nchi yako....too much ego...na ukabila kwa mbali
Wew Baki na vitakwimu vyako vya wauza bandari...Kwanza sio wa Mwisho kimaendeleo Bali katika Per capita...tofautisha Hilo...tz tunazidiwa per capita na benin, Guinea, equatorial Guinea lakin maendeleo tz iko mbali sana kulinganisha na nchi hizo.....Ingekuwa kwa wastani hali iko hivyo msingashika mkia kwenye mkeka wa hali ya maendeleo.
Wew Baki na vitakwimu vyako vya wauza bandari...Kwanza sio wa Mwisho kimaendeleo Bali katika Per capita...tofautisha Hilo...tz tunazidiwa per capita na benin, Guinea, equatorial Guinea lakin maendeleo tz iko mbali sana kulinganisha na nchi hizo.....
Siku zote kipimo cha per capita hufavor sehemu yenye population ndogo...Lindi Tu inaizidi Arusha, mwanza NK kwa per capita lakin tazama maendeleo sasa...
Yule mtakwimu mkuu alishakiri..waliongeza watu laki tano hewa kwa mkoa wa Kagera...2021 Kagera waliestmate watu 3.4million...lakin Sensa ya 2022 inasema 2.9...Mmnh!
Hata kama kungekuwa na mapungufu ndiyo Kagera ishike mkia jamani! [emoji848]
Mmepitwa na wote hadi Lindi na Kigoma?!
Kwa Kweli mjitafakari kwa upya.
Yule mtakwimu mkuu alishakiri..waliongeza watu laki tano hewa kwa mkoa wa Kagera...2021 Kagera waliestmate watu 3.4million...lakin Sensa ya 2022 inasema 2.9...
Yani Karne hii unajisifia kabila, mbona mnakua na mishe za kishamba sana nyie wachaga wa kishumundu.Mwanza,sengerema Wachaga kibao wapo n'a biashara za kati na kubwa
Arusha 80% matajiri ni Wachaga,dar usiseme,mbeya,iringa pia wapo
It doesn't matter...just enjoy how Bukoba suburbs are developing at a fast speed...hayo mambo ya takwimu watajua wao...Ni ngumu sana kueleweka.
Basi mngeshika namba ya katikati lakini badala yake mkashika mkia ? [emoji15]
Na hii siyo mara ya kwanza wala ya pili.
Imekuwa hivyo mara kadhaa au kuwa last but one .
Yaani isiposhika mkoa Kigoma basi ujue itashika Kagera [emoji108]
Basi mkivuliwa nguo mjue na kuchutama.
Bukoba 2023Ni ngumu sana kueleweka.
Basi mngeshika namba ya katikati lakini badala yake mkashika mkia ? [emoji15]
Na hii siyo mara ya kwanza wala ya pili.
Imekuwa hivyo mara kadhaa au kuwa last but one .
Yaani isiposhika mkoa Kigoma basi ujue itashika Kagera [emoji108]
Basi mkivuliwa nguo mjue na kuchutama.
Nyumba hizi ni moja ama zinahesabika kijiji kizima, kwengine ni nyumba za nyasi ama mabati kuukuuKama ni kweli itakuwa ni mmoja kati ya familia 100,
Ingekuwa ziko hivyo kwa wastani Kagera msingeshika mkia kwa maendeleo ya kiuchumi kwa mujibu wa takwimu.
Pia inategemea na upigaji picha.
Nyumba hizi ni moja ama zinahesabika kijiji kizima, kwengine ni nyumba za nyasi ama mabati kuukuuKijiji cha kagoma wilaya ya Muleba .... Bukoba vijijini....vijiji vya wahaya hivi
Mkatembee aisee....bado mna ushamba Fulani hiv..View attachment 2698912View attachment 2698914View attachment 2698916View attachment 2698917
Sorry bila Shaka huzungumzii Vijiji nilivyopost hapa....Nyumba hizi ni moja ama zinahesabika kijiji kizima, kwengine ni nyumba za nyasi ama mabati kuukuu
maji ya kisimani
umeme hadi jenereta / sola
hospitali hadi mjini
maduka hadi mjini
barabara za vumbi
shule nzuri hadi mjini
Network inasumbua
ndio shida ya kujenga hivyo vijiji
Vijiji vya wahaya huko Bukoba vijijini...wew endelea kutunza hio Ego yako....Nyumba hizi ni moja ama zinahesabika kijiji kizima, kwengine ni nyumba za nyasi ama mabati kuukuu
maji ya kisimani / mtoni
umeme hadi jenereta / sola
hospitali hadi mjini
maduka hadi mjini
barabara za vumbi
shule nzuri hadi mjini
Network inasumbua
ndio shida ya kujenga hivyo vijiji
Umaskini ni shida kubwa poleumasikini kivipi. Mimi utoshelevu wangu uko katika MUNGU. siutaki utajiri wa makafara na kuabudu mizimu kama wenu Wachaga na Wakinga.
YESU NI MASIHI