luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
MBNA Sasa Kuna mãendeleo? Kwanzia makazi, miundombnu,huduma za jamii etc?Wachaga gani hao wanaofanya kazi sana?
Labda ulienda moshi miaka ya 70, wachaga wa wakati huo ndiyo kweli walikuwa wanafanya kazi sana.
Leo hii, moshi wamebaki wazee tu na idadi ndogo ya vijana ambao hawajielewi na wamepigika kweli kweli. Kazi yao kubwa ni kunywa gongo na banana wine basi.
Umaskin unakusumbuaHamna lolote, wezi tu!
Ongea Bosstukiongea tutaonekana tuna chuki
Kahama ukitoka km 5 tu unaanza kukutana na mikokoteni ya punda kutafuta maji,kumekaukaaaAcha uongo vijiji vya kahama viko vizuri kuanzia Manzese,Masabi,Segese,kakola nk sema mnapenda sifa sana!
Wachaga ni exaggerated icon, nothing kwa sasa, zamani sawa.
ha ha haaaaENEO PEKEE WALILOSHINDWA KUFANIKIWA, NI KWENYE NDOA.
NDOA ZAO HAZIDUMU KABISAA.
MAENEO MENGINE WAKO VIZURI
WiziHate dhidi ya wachaga ipo juu kweli kweli.....
Ni kitu huwezi kukibadilisha kipo tu..!
Yaani naturally mchaga anachukiwa labda kutokana na tabia zake
Au lafudhi yao
Au mambo wanayoyafanya.....
Mzee mwanakijiji aliwahi kuanzisha kabisa thread....
Wachaga jueni mnachukiwa....sio na wote lkn ni baadhi ya makabila ila sidhani kama kuna kabila linachukiwa kama wachaga...au ni tribalism? Au nepotism,..au ni ule ulevi wao?
Kwann wanachukiwa?
Nadeclare mm ni mchaga....!
wewe utakuwa unatoka ule mkoa ambao walimuua kikongwe wakanyofoa macho na bado ni masikini wa kutupwaWachaga wako kama wahindi, wanaharibu watoto wao, utakuta mmoja dishi limeyumba huwezi kumjua kirahisi...
Huyo ndio anawapa utajiri...
Kingine ni watu wa kafara za damu za wanyama kwa wafu/mizimu...
wewe shida yako ni ubabe unataka uoe kule ambapo akikupa maji akupigie magoti hasimami hadi umalize kunywa huu ni ushamba wa hali ya juu .Watu wako busy kutafuta maisha hawana muda wa kupiga magoti watasimama saa ngapi kutafuta pesaWAKATI WEWE UNAWAZA MTU WA KUSAIDIANA NAYE MAISHA.
MWENZIO ANAWAZA KIPATO CHAKE NI CHAKE YEYE, YEYE TU.
MALEZI NA MAKUZI YAO YAWE WAANDA KUWA WANAUME WA KIKE.
HAO HAWANA HAIBA ZA KIKE, HUWEZI KUTA WANAONGEA KWA UPOLE, UNYENYEKEVU, UTII, KUJISHUSHA.
ZAIDI NI WATU WA MASHINDANO, KUPENDA KUTAWALA (HASA KAMA MUME SIO WA KABILA YAO), KIBURI, JEURI, DHARAU, UBABE UBABE.
Upo tabora?..Mimi nipo taboraWanaonufaika ni wale WA maeneo yaliyopitiwa na mradi tu Wala sio Ktk eneo lote
Janja janja sana kwenye kupiga dili.Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, wachaga wapo mbali mno, yapo makabila yanayofatia ila ni gepu refu mno.
1.Elimu: Hawa watu wamesoma sana na shule zipo huko kwao tangu zamani sana, shule zipo nyingi zimejengwa vizuri hakuna mambo ya wanafunzi kurundikana madarasan ama kukaa chini, walishamaliza haya matatizo tangu zamani. Mwamko huu wa elimu umepelekea kuwepo shule nyingi za kimataifa Moshi na Arusha, matajiri wanapeleka watoto shule hizi hawaoni shida kulipia ada milioni 40, shule hizi ni kama international school of Moshi, Braeburn, Kennedy house, St Constantine, n.k. ni shule zenye mfumo moja duniani na hata matajiri na wanasiasa wa nchi za ulaya husomeshea watoto, kuna comnections nzito na expoosure,.... hapa kwenye elimu wanaokaribia labda wahaya lakini tatizo wahaya wanakomaa kusoma tu Ila mchaga anasoma, anatafuta pesa, hasahau kwao na hata akipata hajigambi wala kuridhika.
Biashara - Ni wakongwe katika hii sekta, biashara ipo ndani ya damu, hata walioishia darasa la saba wanafanya makubwa, wasomi nao maarufu tumeona wakileta makampuni ya ndege, media house, kampuni za kuwachota pesa wazungu waje kutalii, n.k. ukicheki hata soko la hisa DSE watanzania wa asili wapo wachache ila wachaga ndio wengi. sikuhizi naona kuna makabila mengine yamepata mwamko kama wakinga, waha, wasukuma n.k ila kwakweli bado gepu ni refu, wameachwa mbali sana na wachaga.
siasa - Siasa pia ipo ndani ya damu, nikueleze tu ya kwamba hata vyama vingi maarufu vya upinzani vilianzia huko, TLP, NCCR, CHADEMA, n.k.
kuendeleza na kujenga vijijini kwao hawana mpinzani, Ni sehemu yenye vijiji vyenye makazi bora ya nyumba nzuri na za kisasa, wengi wakistaafu hurudi kuishi huku bila shida. maji Safi ya bomba yapo, barabara zipo, hospitali zipo, umeme upo, n.k. Kama ilivyo kwa Moshi kuwa mojawapo ya miji Safi miaka n'a miaka, vijijin pia makazi yamepamgiliwa vizuri kwa usafi wa hali ya juu. nimeona makabila mengine wanajaribu lakini tatizo unakuta hata mtu akijenga kijijini kwao, nyumba nzuri bado inaweza kuwa moja ama zinahesabika kijiji kizima, na hapo kuna shida ya maji inabidi wachimbe kisima, umeme watumie jenereta, barabara mbovu, n.k. Hali hii hupelekea hata waliojenga vijijini wakistaafu wanabaki mjini, ila pia wengi huogopa kujenga ama hata wakijenga wanasita kwenda kuishi vijijini kwasababu ya uchawi, Nina rafiki yangu wa Geita huko wazazi wake walikataa awajengee nyumba ya kisasa kwa kuogopa kuwatia ndugu na majirani zao wivu wasije wakarogwa ama wamroge mtoto wao, mtu anaweza kujenga huko kibishi lakini ni ile ijulikane tu kajenga kwao ila hapendi kukaa huko labda itokee msiba ama dharura.
Kwenye hizi nafasi za Teuzi hawajajaa sana maana hizi nafasi kwa kiasi kikubwa ni Raisi anateua watu wake ila ukija huku kwenye ajira za ofisini wamejaa, mashirika ya uma na kimataifa wapo.
kuridhika kwa wachaga ni ngumu sana, mtu alieridhika mara nyingi huonyesha majigambo, ujivuni, kiburi, sifa, n.k. anaona ndio ashafika, ataanza kuiita laki si pesa hadharani, dharau, sifa za kutaka attention watu wajue ana hela, n.k kwa wachaga mtu anaweza kuwa na pesa kibao ila hizi tabia hawaendekezi.
Ni nadra sana kusikia mambo ya uchawi uchagani kama ilivyo umasaini na ukuryani, simaanishi kwamba haupo kabisaaaa ila ni kwa kiwango kidogo sana, si jambo la kusumbua sana jamii kwamba flani kamtupia jini jirani kisa kapata kazi, kurogana kisa mtu kanunua baiskeli, kutupiana mabusha kutesana, malimbwata, kuwanga usiku, n.k. hata ukisikia mganga mchaga, mmasai au mkurya kimbia, huyo tapeli, huku mtu akitaka uchawi afunge safari kwenda kununua kwengine, sehem ya karibu upareni.
Wanaheshimu mila na desturi zao: kifupi wanajua wapi wametoka na wapi wanaenda, wachaga ikifika december kuna mtu asiejua balaa lao ? huwa ni kama waisrael wa nchi mbali mbali wanarudi kwao, Kama ilivyo utamaduni wa kila kabila matambiko hayawezi kukosekana kwa zile koo za kichifu.
..........................
😄😄 ndugu umenilisha maneno, kisha una nifokea.wewe shida yako ni ubabe unataka uoe kule ambapo akikupa maji akupigie magoti hasimami hadi umalize kunywa huu ni ushamba wa hali ya juu .Watu wako busy kutafuta maisha hawana muda wa kupiga magoti watasimama saa ngapi kutafuta pesa
Mkuu mbona unahangaika hivi...Uchagan hakuna nÿumba ya nyasi hâta Moja
Kule usukumani nÿumba za nyasi ni 60% Vijijin nÿumba za maana zipo katk centers tu Ila makazi halisi ya WANANCHI ni nÿumba za hovyo mno yote hayo ni kwasababu ya uchawi MTU anaogopa kuweka bati zuri au nÿumba nzuri kisa atalogwa Bado mpo Karne ya 17
Check ndugu zako walivyo chakaa huko moshi sijui kibosho....Pamoja na maendeleo yao wachaga wana matatizo ya ugonjwa wa akili wako dakika moja mbele.
Mfano mhe yule aliyeoa dogo dogo miezi 6 akafariki.
Rafiki yangu mmoja aliniambia shauri ya pombe.
Nilijaribu kutafiti jirani kwangu wachaga wanaonizunguka nime prove ila ajabu sasa wako vizuri kutafuta shillingi na elimu wako vizuri sana.Mungu hampi mtu kila kitu kwa kweli.
Kuna nÿumba za nyasi kama kwenu MULEBA?Mkuu mbona unahangaika hivi...
Kuna hadi nyumba za udongo moshi......
Umaskini mtupu.....hapa ni kibosho moshi...tazama watu walivyochakaa huko moshi...
View attachment 2706658View attachment 2706659
Yah pombe Lkn maendleo mbele, kule hawana mambo ya kishirikina kama wenzetu wenginePamoja na maendeleo yao wachaga wana matatizo ya ugonjwa wa akili wako dakika moja mbele.
Mfano mhe yule aliyeoa dogo dogo miezi 6 akafariki.
Rafiki yangu mmoja aliniambia shauri ya pombe.
Nilijaribu kutafiti jirani kwangu wachaga wanaonizunguka nime prove ila ajabu sasa wako vizuri kutafuta shillingi na elimu wako vizuri sana.Mungu hampi mtu kila kitu kwa kweli.
Soma uleJanja janja sana kwenye kupiga dili.