Ni ipi siri ya Yanga hata ikiwa mbovu haijawahi kumaliza ligi nje ya nafasi ya tatu?

acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
Dogo usibishe ulikuwa hujazaliwa
 
Kwa sababu timu nyingine ziko real zinacheza mpira.Hao unaosema hawajawahi kushika nafasi zaidi ya 3 ni wafanya maigizo miaka yote.Ndio maana wanaongoza kwa ubingwa lakini club bingwa Afrika ndio unawasikia mwaka huu tu
Wewe huko club bingwa una mafanikio gani?
 
Bayern Munich kachukua kombe mara 11 mfululuzo hapa unasemaje?
Mnakimbia hoja kwa kuleta vihoja visivyohusika. Bayern Munich katika hii misimu mitatu kafungwa mechi 14
 
Wewe nawe pamoja na kuwa ni mkongwe na mjuvi wa mambo mengi lakini linapokuja suala la Yanga unatuthibitishia hoja ya Manara,jibu hoja kwa ushahidi kama vile ulivyowataka wanaohoji ushindi wa Yanga wapeleke ushahidi TAKUKURU,siku zote mnaleta hii hoja yenu ya kufikirika,mkiombwa ushahidi mnadai mwombaji alikuwa bado hajazaliwa
 
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…