Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ni wivu tuuWewe umeona wapi timu misimu mitatu yote imefungwa mechi tatu tu, hiyo ligi au ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wivu tuuWewe umeona wapi timu misimu mitatu yote imefungwa mechi tatu tu, hiyo ligi au ujinga
Dogo usibishe ulikuwa hujazaliwaacha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
Wewe huko club bingwa una mafanikio gani?Kwa sababu timu nyingine ziko real zinacheza mpira.Hao unaosema hawajawahi kushika nafasi zaidi ya 3 ni wafanya maigizo miaka yote.Ndio maana wanaongoza kwa ubingwa lakini club bingwa Afrika ndio unawasikia mwaka huu tu
Huyo ndie mbumbumbu mkuu hapa jukwaaniNa kile kipindi ambacho kinaitwa cha bakuli ambapo hata kulipa wachezaji mishahara ilikuwa shida napo walikuwa wanafanya hivyo?
Bayern Munich kachukua kombe mara 11 mfululuzo hapa unasemaje?Wewe umeona wapi timu misimu mitatu yote imefungwa mechi tatu tu, hiyo ligi au ujinga
Mnakimbia hoja kwa kuleta vihoja visivyohusika. Bayern Munich katika hii misimu mitatu kafungwa mechi 14Bayern Munich kachukua kombe mara 11 mfululuzo hapa unasemaje?
Wewe nawe pamoja na kuwa ni mkongwe na mjuvi wa mambo mengi lakini linapokuja suala la Yanga unatuthibitishia hoja ya Manara,jibu hoja kwa ushahidi kama vile ulivyowataka wanaohoji ushindi wa Yanga wapeleke ushahidi TAKUKURU,siku zote mnaleta hii hoja yenu ya kufikirika,mkiombwa ushahidi mnadai mwombaji alikuwa bado hajazaliwaInawezekana mwaka 1988 ulikuwa hujazaliwa. Halafu pia jaribu kuachana na hii tabia isiyokuwa ya kistaarbu.
Watanzania wengi ni watu wasiokuwa na ustaarabu katika kuongea
Ukiongea na mtu wa mataifa ya nje msipokubaliana ataacha mazungumzo yaishe atazame mambo mengine. Ila ukiongea na mtanzania halafu mkashindwa kukubaliana atakurushia matusi hata ya nguoni. Kama huamini, pitia JF hapa hapa uone jinsi maneno ya "Mpumbavu" na "mjinga" yanavyotumika. Ukiinga...www.jamiiforums.com
SahihiTimu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ?
Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi ingepoteza mvuto na bila derby mapato yangepungua.
HhahahahahDogo usibishe ulikuwa hujazaliwa