cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
BADILI TABIA, kwani unavote big brother?? lol!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeoina hiyo eeh! lkn hii kwa sisi wana physikia tunaita minimum factor of safety kama mwandisi utakuwa umenisoma. ile some flirting huwa ni kali sana best lakin ndipo mtu anapotolea uvivu wake au wengine wapo wasubirie hayo maneno matam wakacopy na kupaste kwa spouses wao.
Lakini pia wana mmu tusisahau kuwa mapenzi ya nje yananoga sana kwakua huyu muusika na mpenzi wake they dont meet oftenly, wao watakutana once in a week, ila kila siku wanabembeleza na sms kali na tamu. so wakikutana kila siku ni wapya ni stresses, hakuna kununiana ni full shangwe tu na hata game inakuwa surperb , kwani kila mmoja ana hamu na mwenziye na wamedumu wk nzima wakinyegeshana.
I agree with you... kwanza kidume utajipeleleka kwa mpenzi/nyumba ndogo wakati uko vizuri siku hiyo financially (kama uko alosto utakuwa na visingizio kibao vya kutotia timu); mpenzi naye most probably atakuwa ameenda kujilipua salon; mtakuwa hamjaonana kitambo, so kila mmoja ana hamu na mwenzake; mtakuwa mshawekana tayari psychologically kwa vi-sms vya 'i miss you', 'i am dying to see you'; 'leo nna nyege sana' na uwongo uwongo mwingine kibao n.k.
in contrast, nyumba kubwa mnaishi maisha real na mna-face real problems/situations: kuna kulipa bills, school fees, mna mgonjwa katoka kijijini kuja kutibiwa mjini, kodi ya nyumba imeisha (kama hamjajenga), mama/baba mnalala wote, mnaamka wote so unamuona jinsi alivyo in her/his natural state (kwa wale wanaoangalia big brother africa mtakuwa mmemuona barbz wa siku hizi na yule aliyeingia kwa mbwembwe siku ya kwanza, kwa sababu unamuona 24/7 na kuna wakati anakuwa kama ametoka kijijini leo).
so maisha ya kukaa na mtu ndani ya ndoa (even hata cohabitation tu) yanahitaji effort ya pekee kufanya moto wa mapenzi uendelee kuwaka, la sivyo mnaweza ku-turn out kuwa mtu na dadake hivihivi...
Eiyer pokea like zangu 1000. i like what you said ma lito bro. Keep it up.gfsonwin,ni kweli naweza kuamua kuwa na wanawake wengi nitakavyo,lakini pia naweza nikaamua nikawa na mwanamke mmoja au kutokua na mwanamke kabisa.Ni jambo la kuamua tu.Ndo maana nikasema jambo la kuamua ucheat au la liko kwenye mamlaka yako.Na msimamo wangu ni huu,kucheat ni UJINGA kwa sababu ni UJINGA kucheat.That's all!
now ma lovely bro cartura you said it correct. ok unafikir nini kifanyike kakaa ili haya mapenzi ya ndani yanoge kama hayo ya nje?
gfsonwin ndiyo maana nikasema inahitajika effort... siyo kwamba haiwezekani kufanya moto wa mapenzi uendelee kuwaka; in most cases tukishaingia ndani, hatufanyi effort tena... una-take for granted kwamba huyu ni mwenza na yupo tu whether i do it or not... tunakuwa swept away na changamoto za maisha, mambo ya mapenzi ndani ya nyumba inakuwa si priority tena; vidokezo ulivyotoa kwenye uzi wako ni very important katika kurudisha mahusiano kwenye level ambayo thrills, sparks. excitement, suspense etc vitarudi kunogesha majamboz...
Sasa tangu huyu mama apate mtoto kawa mvivu yaani nikiomba mzigo inakuwa vita wakati mwingine anawahi kulala ili nisimwamshe na asubuhi hataki kabisa kunisikia.
To be honest hii kitu imenifanya nika-recruit kitu kipya so nikitoka job napitia napiga vyangu viwili nimirudi home maisha amani tele.So niliamua kutafuta amani nyumbani kwa style hii.
ili kurudisha penzi ama kupalilia penzi kuna gharama in terms of cash?
not necessarily... inategemea na standard na type ya maisha mnayoishi...babu yangu kule kijijini akimenyewa muhogo mbichi na bibi, akakaribishwa kwa bashasha na maneno matamu na probably babu badala ya kwenda kupata pombe za kienyeji akakaa na mkewe wanaota moto pamoja huku wanapiga stori za kukumbushana jinsi babu alivyokuwa ana uwezo wa kwenda round kadhaa bila kuchoka; that kind of little and priceless gestures could rekindle and keep the flame of their love burning bila kuhitaji loads of cash
teh teh teh teh yaan babu na bibi tena.............lolz! i thought sasa hivi hawayaongei tena haya manake wamesha zeeka. kumbe bado lol, mapenzi kitu cha ajabu sana.