ni J2 njema tujenge ndoa zetu tena........

umeoina hiyo eeh! lkn hii kwa sisi wana physikia tunaita minimum factor of safety kama mwandisi utakuwa umenisoma. ile some flirting huwa ni kali sana best lakin ndipo mtu anapotolea uvivu wake au wengine wapo wasubirie hayo maneno matam wakacopy na kupaste kwa spouses wao.

haya maneno matamu yakiendelea kuwa intense, hudhani kwamba mtu anaweza kuanza kuwa na second thoughts? yaani kwamba kama huyu dada/kaka anaweza kuninyegesha hivi online, probably tukikutana physically things could turn out real superb...
 
gfsonwin,ni kweli naweza kuamua kuwa na wanawake wengi nitakavyo,lakini pia naweza nikaamua nikawa na mwanamke mmoja au kutokua na mwanamke kabisa.Ni jambo la kuamua tu.Ndo maana nikasema jambo la kuamua ucheat au la liko kwenye mamlaka yako.Na msimamo wangu ni huu,kucheat ni UJINGA kwa sababu ni UJINGA kucheat.That's all!
 
Lakini pia wana mmu tusisahau kuwa mapenzi ya nje yananoga sana kwakua huyu muusika na mpenzi wake they dont meet oftenly, wao watakutana once in a week, ila kila siku wanabembeleza na sms kali na tamu. so wakikutana kila siku ni wapya ni stresses, hakuna kununiana ni full shangwe tu na hata game inakuwa surperb , kwani kila mmoja ana hamu na mwenziye na wamedumu wk nzima wakinyegeshana.

I agree with you... kwanza kidume utajipeleleka kwa mpenzi/nyumba ndogo wakati uko vizuri siku hiyo financially (kama uko alosto utakuwa na visingizio kibao vya kutotia timu); mpenzi naye most probably atakuwa ameenda kujilipua salon; mtakuwa hamjaonana kitambo, so kila mmoja ana hamu na mwenzake; mtakuwa mshawekana tayari psychologically kwa vi-sms vya 'i miss you', 'i am dying to see you'; 'leo nna nyege sana' na uwongo uwongo mwingine kibao n.k.

in contrast, nyumba kubwa mnaishi maisha real na mna-face real problems/situations: kuna kulipa bills, school fees, mna mgonjwa katoka kijijini kuja kutibiwa mjini, kodi ya nyumba imeisha (kama hamjajenga), mama/baba mnalala wote, mnaamka wote so unamuona jinsi alivyo in her/his natural state (kwa wale wanaoangalia big brother africa mtakuwa mmemuona barbz wa siku hizi na yule aliyeingia kwa mbwembwe siku ya kwanza, kwa sababu unamuona 24/7 na kuna wakati anakuwa kama ametoka kijijini leo).

so maisha ya kukaa na mtu ndani ya ndoa (even hata cohabitation tu) yanahitaji effort ya pekee kufanya moto wa mapenzi uendelee kuwaka, la sivyo mnaweza ku-turn out kuwa mtu na dadake hivihivi...
 
now ma lovely bro cartura you said it correct. ok unafikir nini kifanyike kakaa ili haya mapenzi ya ndani yanoge kama hayo ya nje? kumbuka kabisa ni lazima wa ndani muonane tu, sasa ila kuonana kule kwenu kusiwe kunaboa what shd be done?
hapo usiache kuconsider kwamba kunakukoseana, kuna ubize and so forth?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin,ni kweli naweza kuamua kuwa na wanawake wengi nitakavyo,lakini pia naweza nikaamua nikawa na mwanamke mmoja au kutokua na mwanamke kabisa.Ni jambo la kuamua tu.Ndo maana nikasema jambo la kuamua ucheat au la liko kwenye mamlaka yako.Na msimamo wangu ni huu,kucheat ni UJINGA kwa sababu ni UJINGA kucheat.That's all!
Eiyer pokea like zangu 1000. i like what you said ma lito bro. Keep it up.
 
Last edited by a moderator:
now ma lovely bro cartura you said it correct. ok unafikir nini kifanyike kakaa ili haya mapenzi ya ndani yanoge kama hayo ya nje?

gfsonwin ndiyo maana nikasema inahitajika effort... siyo kwamba haiwezekani kufanya moto wa mapenzi uendelee kuwaka; in most cases tukishaingia ndani, hatufanyi effort tena... una-take for granted kwamba huyu ni mwenza na yupo tu whether i do it or not... tunakuwa swept away na changamoto za maisha, mambo ya mapenzi ndani ya nyumba inakuwa si priority tena; vidokezo ulivyotoa kwenye uzi wako ni very important katika kurudisha mahusiano kwenye level ambayo thrills, sparks. excitement, suspense etc vitarudi kunogesha majamboz...
 
nimependa sana mchnago wako cartura lakin kuna swala ambalo limenijia tena nilipo kuwa nasoma hii comment yako je hii inategemeana na hela au kipato cha familia? lyaani ili kurudisha penzi ama kupalilia penzi kuna gharama in terms of cash?
 
Last edited by a moderator:
Haka kauzi katamu na knanihusu kweli yaani especially kwenye hili la kuzoeana.Bila kuwa bias wanawake wanachangia sana kwenye hili coz mi mwenyewe kama mfano halisi uwezo wangu ulivyo ni kupiga mzigi daily yaani mapumziko ni siku zile tu za angani.
Sasa tangu huyu mama apate mtoto kawa mvivu yaani nikiomba mzigo inakuwa vita wakati mwingine anawahi kulala ili nisimwamshe na asubuhi hataki kabisa kunisikia.
To be honest hii kitu imenifanya nika-recruit kitu kipya so nikitoka job napitia napiga vyangu viwili nimirudi home maisha amani tele.So niliamua kutafuta amani nyumbani kwa style hii.
Note kwamba nili-share naye kuwa hanitendei haki na kumkumbusha jinsi tulivyokuwa tukicheza mechi daily kabla kuwa pamoja ile hakuonesha kujali.
 
Sasa tangu huyu mama apate mtoto kawa mvivu yaani nikiomba mzigo inakuwa vita wakati mwingine anawahi kulala ili nisimwamshe na asubuhi hataki kabisa kunisikia.
To be honest hii kitu imenifanya nika-recruit kitu kipya so nikitoka job napitia napiga vyangu viwili nimirudi home maisha amani tele.So niliamua kutafuta amani nyumbani kwa style hii.

very typical and vivid example...hii inatokea sana mkuu na solution ni kutafuta 'safety valve' kabla viluilui havigeuka kuwa vyura
 
ili kurudisha penzi ama kupalilia penzi kuna gharama in terms of cash?

not necessarily... inategemea na standard na type ya maisha mnayoishi...babu yangu kule kijijini akimenyewa muhogo mbichi na bibi, akakaribishwa kwa bashasha na maneno matamu na probably babu badala ya kwenda kupata pombe za kienyeji akakaa na mkewe wanaota moto pamoja huku wanapiga stori za kukumbushana jinsi babu alivyokuwa ana uwezo wa kwenda round kadhaa bila kuchoka; that kind of little and priceless gestures could rekindle and keep the flame of their love burning bila kuhitaji loads of cash
 
teh teh teh teh yaan babu na bibi tena.............lolz! i thought sasa hivi hawayaongei tena haya manake wamesha zeeka. kumbe bado lol, mapenzi kitu cha ajabu sana.
 
sina unajua tena gfsonwin mapenzi is not only that 'thing' eeh, so hata mmoja wa spouses aki-paralyse kiuno akashindwa ku-do, bado atahitaji mapenzi... (this is debatable katika ulimwengu huu wa dot.com, though)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom