Ni jaji ama wakili atajitoa kwenye kesi ya Lissu?

Ni jaji ama wakili atajitoa kwenye kesi ya Lissu?

Ni maelekezo kutoka juu na sio vinginevyo, hata wakili au jaji akijitoa bado ni maelekezo kutoka ☝️
 
Hv kipindi kesi ikiwa kisutu si ilikuwa live stream
Je Nan aliona video yoyote ikichezwa mahakaman?😃😁
 
Je hao mawakili wa TAL hawawe

Kufungua ka kesi kengine juu ya mtu aliyezungumza uongo mbele ya majaji mahakaman?
Wanampotezea na aibu zake. Tusubiri J5 keshokutwa tuone Majaji watakuja na maamuzi gani.
 
Sijaoteshwa wala mm sio Nabii.

Baada ya Raisi Samia kuapishwa,
Ataunda baraza lake la mawaziri.
(Wanawake , vijana watapewa kipaumbele).
Kuna uwezekano mkubwa Waziri mkuu akawa Mwanamke.

Baada ya wiki 2 Atatengua na kuteua nafas nying za serikali, na taasisi mbalimbali.
Mojawapo ni DPP.
Na DPP mpya ndio atasema hana nia ya kuendelea na Kesi ya Lissu.

Mkuu wa Usalama wa Taifa pia atatumbuliwa.
 
LiFe 2-point-0 .
Ilianza taratibu. Waziri wa Ulinzi ni Mwanamke pia.

Atachagua Waziri mkuu mwanamke kwasababu asipofanya yeye .inabidi isubiriwe miaka ming mbele kutokea.

Kwahiyo chance kubwa atafanya yeye hili jambo.
 
Hii kesi inavidhalilisha tu vyombo vya uchunguzi na pia mahakama. Walifikiri Lissu atakubali kushindwa/kuingia makubaliano ya siri ili kesi ifutwe! Bahati mbaya kwao Mwamba amekomaa! Halafu kesi yenyewe ni ya mchongo!! Patamu sana hapa.
 
Lengo lao ilikuwa mtiti wa no reform no election uliokuwa unashadidiwa na Lissu. Lissu akawekwa ndani ili kupooza mtiti huo, kumbe lissu si chochote si lolote kuna wengine wanatishia kukinukisha
 
Back
Top Bottom