Bora nikose togwa mwaka mzima, siyo kukaa zaidi ya masaa 5 bila kuchungulia JF watanizika.
1. Mke wangu,huwa najiapiza siwezi kumuacha kiurahisi kabisa 2. Jamii forums nimekuwa ni zaidi ya mlevi,kama bado sijaingia humu hapo bado nitakuwa sijafanya kitu. Wewe je?
Duh😆Kubugia pilipili kichaa.
Kila ninapokula huwa sikosi pilipili ya kutafuna. Hiyo ndo jadi yangu.Duh😆