Ni jambo gani? Ambalo hutakaa ulisahau katika maisha yako.

Ni jambo gani? Ambalo hutakaa ulisahau katika maisha yako.

GUTWE

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
193
Reaction score
24
Kwa mfano mimi nakumbuka enzi izo nilitembea umbali wa km 25 kwa miguu,kufuatilia wali wa sherehe alafu nikaukosa. weeeeeee nilila saaana nikiwaza nitaludi vipi home?..maana nilikuwa nimechoka ni uspime.
 
mmeru moja alipowatenganisha mbwa waliokuwa wana do sex kwa kuwakata kwa panga dah wale mbwa walilia na kufa mda ule ule around Ilboru. RIP WALE MBWA.
 
mmeru moja alipowatenganisha mbwa waliokuwa wana do sex kwa kuwakata kwa panga dah wale mbwa walilia na kufa mda ule ule around Ilboru. RIP WALE MBWA.

dah! jamaaa alikuwa na roho ya kinyama sana.
 
Back
Top Bottom