G GUTWE Senior Member Joined Jul 4, 2013 Posts 193 Reaction score 24 Sep 29, 2013 #1 Kwa mfano mimi nakumbuka enzi izo nilitembea umbali wa km 25 kwa miguu,kufuatilia wali wa sherehe alafu nikaukosa. weeeeeee nilila saaana nikiwaza nitaludi vipi home?..maana nilikuwa nimechoka ni uspime.
Kwa mfano mimi nakumbuka enzi izo nilitembea umbali wa km 25 kwa miguu,kufuatilia wali wa sherehe alafu nikaukosa. weeeeeee nilila saaana nikiwaza nitaludi vipi home?..maana nilikuwa nimechoka ni uspime.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Sep 29, 2013 #2 Mmmh 25km you cant be really
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,815 Sep 30, 2013 #3 mmeru moja alipowatenganisha mbwa waliokuwa wana do sex kwa kuwakata kwa panga dah wale mbwa walilia na kufa mda ule ule around Ilboru. RIP WALE MBWA.
mmeru moja alipowatenganisha mbwa waliokuwa wana do sex kwa kuwakata kwa panga dah wale mbwa walilia na kufa mda ule ule around Ilboru. RIP WALE MBWA.
G GUTWE Senior Member Joined Jul 4, 2013 Posts 193 Reaction score 24 Sep 30, 2013 Thread starter #4 bily said: mmeru moja alipowatenganisha mbwa waliokuwa wana do sex kwa kuwakata kwa panga dah wale mbwa walilia na kufa mda ule ule around Ilboru. RIP WALE MBWA. Click to expand... dah! jamaaa alikuwa na roho ya kinyama sana.
bily said: mmeru moja alipowatenganisha mbwa waliokuwa wana do sex kwa kuwakata kwa panga dah wale mbwa walilia na kufa mda ule ule around Ilboru. RIP WALE MBWA. Click to expand... dah! jamaaa alikuwa na roho ya kinyama sana.