Ni jambo gani huwezi kulisahau kwa mara ya kwanza ulipoanza kazi.

Ni jambo gani huwezi kulisahau kwa mara ya kwanza ulipoanza kazi.

Kwa mara ya kwanza kabisa naonja kuajiriwa na kuanza kazi rasmi nilikuwa najituma sana na mwenye weledi nadhani kwasababu ya kimuyemuye cha kazi,sikutaka kabisaa ujinga kwenye ishu za kazi,.kazi ilikuwa ndio mpenzi wangu mahabuba,.lakini siji kusahau nilipomsikia supervisor wangu akiniteta ofisini "fulani (mimi)anajifanya kupenda sana kazi ee anataka kuonekana bora au anautaka yeye uboss,kujishaua tuu...ngoja aizoee kazi tuone" na maneno mengine mengi mengi,.daaaahhh niligwayaaa nguvu zikaniisha looh😔nikakumbuka tuu usia wa mama yangu juu ya mambo ya makazini...

Nilijipa moyo lakini nilijiona kabisaa kiutendaji naanza kuwa mnyonge,sikuwa na hamu na kazi tena...nikajisemea mtu huyu kuna siku anaweza kuni recommend vibaya hata bila kujua,.baada ya mwaka mmoja nili resign na kufanya ustaarabu mwingine..
 
Nilipo anza kazi sehemu fulani kulikua na wadada wawili nikashangaa wameanza kuninunia gafla kwamba eti nimeenda kuwachunguza wakawa wanaiba hela hili mimi nionekane mwizi dah nilipitia wakati mgumu sana mwisho wa siku akaondoka mmoja tukabaki wawili tukaanza kupatana huyu mwingine mpaka leo nikikumbuka alivyokuwa ananifanyia napata uzito sana kuongea nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza kabisa naonja kuajiriwa na kuanza kazi rasmi nilikuwa najituma sana na mwenye weledi nadhani kwasababu ya kimuyemuye cha kazi,sikutaka kabisaa ujinga kwenye ishu za kazi,.kazi ilikuwa ndio mpenzi wangu mahabuba,.lakini siji kusahau nilipomsikia supervisor wangu akiniteta ofisini "fulani (mimi)anajifanya kupenda sana kazi ee anataka kuonekana bora au anautaka yeye uboss,kujishaua tuu...ngoja aizoee kazi tuone" na maneno mengine mengi mengi,.daaaahhh niligwayaaa nguvu zikaniisha looh[emoji17]nikakumbuka tuu usia wa mama yangu juu ya mambo ya makazini...

Nilijipa moyo lakini nilijiona kabisaa kiutendaji naanza kuwa mnyonge,sikuwa na hamu na kazi tena...nikajisemea mtu huyu kuna siku anaweza kuni recommend vibaya hata bila kujua,.baada ya mwaka mmoja nili resign na kufanya ustaarabu mwingine..
Pole sana fundi na hongera kwa kufanya maamuzi sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipewa hela ya kujikimu nikaenda kulala guest na kunywa bia 4.Muuza aligundua Nina Faranga akanigongea usiku nikamfungulia,akaingia akakaa bed.Akaniambia nimekuja kukupa kampani.Nilimzuga nikamwambia mwenzangu anakuja badae.akaondoka akisonya,nikapiga usingizi asubuhi nikaenda kununua Godoro na Gas tayari na kwenda kazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sijui niseme ipi, maana wengine kwenye maisha tumepiga mbishe nyingi kinoma
 
Acha masikhala bhana fundi....umenielewa kivipi!! Wakati vioo vya gari lako, bado umevifunga. Nimekuita kwa sauti"Fumdiiii" toka saa 9 jua kaliiii, lakini hadi sasa hivi bila bila!!

Cc:
Mbona unaninyanyasa kijinsia kiac hiki jamani.
Kwahiyo una ponda mali kufa kwaja eeh??[emoji13]

Nimekuelewa,.unapendeleaje?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom