babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kazi waiter. Naanza asubui shati jeupe balaa,jioni lilikua limeloa michuzi batiki muruaš¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu kama nyie ndio hua mnaharibu thd hapa JF,huo upuuzi nenda pm ukaongee nae huyo mwenzako,acha kuharibu thd kwa kutuletea upuuzi upuuzi hapa.Nipo huku Ponda Mali..kana kwamba unioni au unanifanyia makusudi fundi!!
Cc:
Fundiiiiii (code).
Sent using Jamii Forums mobile app
wanazingua sana wanaleta mazungumzo binafsi kwenye threads za watu alafu hata aibu hawaoni watu wanachangia mada wao wanaleta story gani sijui alafu hata hazieleweki hazina faida kwa wengine kwanini wasiende pm kupiga story hizo wanadandia nyuzi za watu.Watu kama nyie ndio hua mnaharibu thd hapa JF,huo upuuzi nenda pm ukaongee nae huyo mwenzako,acha kuharibu thd kwa kutuletea upuuzi upuuzi hapa.
Motel Agip pale nikaondoka na vi tip km 3000 hivi Miaka Hiyo Ndio tu shing mia coin tunatoka km dhahabu.mzungu anachukua ka mia anakuachia vilivyobaki.Kazi waiter. Naanza asubui shati jeupe balaa,jioni lilikua limeloa michuzi batiki muruaš¤
Mara ya kwanza walijua ni mtoto wa boss kaja maana mi ndio nilikua kadogoooo, halafu tukawa tumeongozana na HR. Walikua wananituma tuma saaaana ila kiukweli niliingia nikiwa mdogo miaka 21 et officer [emoji3][emoji3]kimtindo namimi nikawa natumia advantage hiyo hiyo nikikosea nasema mtoto ndo anajifunza ruksa kukosea!
Sasa mimi ndo nikawa nawahi kila siku, naogea vizuri tu kwenye story za hapa na pale nachangia kwa adabu kabisa kumbe kila kitu nilikua location tu najibana tu wanizoee kidogo. Baada ya kujua jua kazi na kunizoea walinikoma sasa maana kiukweli mimi sijawahi kuwahi kwa chochote tangu secondary mpka U.E mi nachelewaga tu yani kila kitu mi nilikua mzee wa deadline, kwenye story mi ndo naongea pumba kuliko, yaani mimi ndo ikawa naongoza kwa zile excuse za ugonjwa, ikafika kipindi hata ofisini nafika tu kusaini naend akukaa nje kwa mlinzi mpaka time ya kutoka.Mungu sio Athumani bana wakanichoka bhana kilichonikuta nadhan mnaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaboaa sanaaa bora umewatolea uvivu.Watu kama nyie ndio hua mnaharibu thd hapa JF,huo upuuzi nenda pm ukaongee nae huyo mwenzako,acha kuharibu thd kwa kutuletea upuuzi upuuzi hapa.
Kwa mara ya kwanza kabisa naonja kuajiriwa na kuanza kazi rasmi nilikuwa najituma sana na mwenye weledi nadhani kwasababu ya kimuyemuye cha kazi,sikutaka kabisaa ujinga kwenye ishu za kazi,.kazi ilikuwa ndio mpenzi wangu mahabuba,.lakini siji kusahau nilipomsikia supervisor wangu akiniteta ofisini "fulani (mimi)anajifanya kupenda sana kazi ee anataka kuonekana bora au anautaka yeye uboss,kujishaua tuu...ngoja aizoee kazi tuone" na maneno mengine mengi mengi,.daaaahhh niligwayaaa nguvu zikaniisha looh[emoji17]nikakumbuka tuu usia wa mama yangu juu ya mambo ya makazini...
Nilijipa moyo lakini nilijiona kabisaa kiutendaji naanza kuwa mnyonge,sikuwa na hamu na kazi tena...nikajisemea mtu huyu kuna siku anaweza kuni recommend vibaya hata bila kujua,.baada ya mwaka mmoja nili resign na kufanya ustaarabu mwingine..
Acha tuu shogaangu,.walosema kua uyaone ndio haya sasa,.na sehemu kubwa maisha ya wafanyakazi ni ofisini kuliko hata nyumbani sasa imagine kazini pawe panawaka moto weeee,.Yaani makazini ukiwa systematic unaonekana unajipendekeza sijui kwa nini kuna husda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tuu shogaangu,.walosema kua uyaone ndio haya sasa,.na sehemu kubwa maisha ya wafanyakazi ni ofisini kuliko hata nyumbani sasa imagine kazini pawe panawaka moto weeee,.
Ni sawa aliwai kidogo... Mimi ntamaliza na miaka 21
Mimi miaka 21 nilikuwa form 6 [emoji23][emoji23]Ni sawa aliwai kidogo... Mimi ntamaliza na miaka 21
šont folo folo me wizout ene bikoz:
Hahaha mbona poooh,..yani kuna watu wana viranga tuu ukiwa mchapakazi nongwa ukiwa goigoi tabu,..aahhšDaah!acha kabisaa haya mambo!!halafu sasa Senior ndo mtata utaomba pooh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichelewa sana... [emoji23][emoji23][emoji23] alafu ukaenda kusomea udaktari miaka 5[emoji28][emoji28][emoji28] unaanza kazi na miaka 27[emoji4][emoji4]
Si unajua sie wahenga darasa la kwanza tulikuwa tunaingia na miaka kumi[emoji23][emoji23]Ulichelewa sana... [emoji23][emoji23][emoji23] alafu ukaenda kusomea udaktari miaka 5[emoji28][emoji28][emoji28] unaanza kazi na miaka 27[emoji4][emoji4]
šont folo folo me wizout ene bikoz:
[emoji23][emoji23] watoto wa walimu tulikua tunaanza shule mapema Sana mnapelekwa kucheza tu ila ukionekana Una elekea unaenda vizuri tu?
Sio kwa walimu wa vijijini aisee, walimu wa vijijini wazembe sana, exposure sifuri tabu tupu[emoji23][emoji23] watoto wa walimu tulikua tunaanza shule mapema Sana mnapelekwa kucheza tu ila ukionekana Una elekea unaenda vizuri tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjini kuzuri" Ni sentensi pana Sana [emoji23]Sio kwa walimu wa vijijini aisee, walimu wa vijijini wazembe sana, exposure sifuri tabu tupu
Sent using Jamii Forums mobile app