Ni jambo gani huwezi kulisahau kwa mara ya kwanza ulipoanza kazi.

Ni jambo gani huwezi kulisahau kwa mara ya kwanza ulipoanza kazi.

Acha masikhala bhana fundi....umenielewa kivipi!! Wakati vioo vya gari lako, bado umevifunga. Nimekuita kwa sauti"Fumdiiii" toka saa 9 jua kaliiii, lakini hadi sasa hivi bila bila!!

Cc:
Mbona unaninyanyasa kijinsia kiac hiki jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh😔😒nisiposhusha vioo vya gari yangu sitakuwa binti mwerevu abadani...
 
Kwa mara ya kwanza kabisa naonja kuajiriwa na kuanza kazi rasmi nilikuwa najituma sana na mwenye weledi nadhani kwasababu ya kimuyemuye cha kazi,sikutaka kabisaa ujinga kwenye ishu za kazi,.kazi ilikuwa ndio mpenzi wangu mahabuba,.lakini siji kusahau nilipomsikia supervisor wangu akiniteta ofisini "fulani (mimi)anajifanya kupenda sana kazi ee anataka kuonekana bora au anautaka yeye uboss,kujishaua tuu...ngoja aizoee kazi tuone" na maneno mengine mengi mengi,.daaaahhh niligwayaaa nguvu zikaniisha looh[emoji17]nikakumbuka tuu usia wa mama yangu juu ya mambo ya makazini...

Nilijipa moyo lakini nilijiona kabisaa kiutendaji naanza kuwa mnyonge,sikuwa na hamu na kazi tena...nikajisemea mtu huyu kuna siku anaweza kuni recommend vibaya hata bila kujua,.baada ya mwaka mmoja nili resign na kufanya ustaarabu mwingine..
Na hao ndo watenda kazi wa "hapa kazi tu"..[emoji58][emoji29] tunaishi kwa neema za Mungu tu kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽 Very good decision

Kwa mara ya kwanza kabisa naonja kuajiriwa na kuanza kazi rasmi nilikuwa najituma sana na mwenye weledi nadhani kwasababu ya kimuyemuye cha kazi,sikutaka kabisaa ujinga kwenye ishu za kazi,.kazi ilikuwa ndio mpenzi wangu mahabuba,.lakini siji kusahau nilipomsikia supervisor wangu akiniteta ofisini "fulani (mimi)anajifanya kupenda sana kazi ee anataka kuonekana bora au anautaka yeye uboss,kujishaua tuu...ngoja aizoee kazi tuone" na maneno mengine mengi mengi,.daaaahhh niligwayaaa nguvu zikaniisha looh😔nikakumbuka tuu usia wa mama yangu juu ya mambo ya makazini...

Nilijipa moyo lakini nilijiona kabisaa kiutendaji naanza kuwa mnyonge,sikuwa na hamu na kazi tena...nikajisemea mtu huyu kuna siku anaweza kuni recommend vibaya hata bila kujua,.baada ya mwaka mmoja nili resign na kufanya ustaarabu mwingine..
 
Nilipoanza tu kazi nikatupa gari la ofisi mtaroni kisa ulevi.

Sijarudi ofisini yapata mwaka, nasubiri wasahau.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Boss aliponituma kuja kulivuta nikamwambia nenda mwenyewe.
Nakumbuka kupokea barua tu ya kuachishwa kazi
Unaona sasa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mara ya kwanza walijua ni mtoto wa boss kaja maana mi ndio nilikua kadogoooo, halafu tukawa tumeongozana na HR. Walikua wananituma tuma saaaana ila kiukweli niliingia nikiwa mdogo miaka 21 et officer 😀😀kimtindo namimi nikawa natumia advantage hiyo hiyo nikikosea nasema mtoto ndo anajifunza ruksa kukosea!

Sasa mimi ndo nikawa nawahi kila siku, naogea vizuri tu kwenye story za hapa na pale nachangia kwa adabu kabisa kumbe kila kitu nilikua location tu najibana tu wanizoee kidogo. Baada ya kujua jua kazi na kunizoea walinikoma sasa maana kiukweli mimi sijawahi kuwahi kwa chochote tangu secondary mpka U.E mi nachelewaga tu yani kila kitu mi nilikua mzee wa deadline, kwenye story mi ndo naongea pumba kuliko, yaani mimi ndo ikawa naongoza kwa zile excuse za ugonjwa, ikafika kipindi hata ofisini nafika tu kusaini naend akukaa nje kwa mlinzi mpaka time ya kutoka.Mungu sio Athumani bana wakanichoka bhana kilichonikuta nadhan mnaelewa😂😂😂😂
 
Acha kabisa nilifanya kazi mm ndio nilikuwa msomi ila asie na experience niliendeshwaaaa nilikonda ..... (Manager umemzid kielim anakuwa ajiamini japokuwa sikuwa na time nae )
Nikasalim amri nikaandika barua ya kupumzika.
 
Mara ya kwanza walijua ni mtoto wa boss kaja maana mi ndio nilikua kadogoooo, halafu tukawa tumeongozana na HR. Walikua wananituma tuma saaaana ila kiukweli niliingia nikiwa mdogo miaka 21 et officer [emoji3][emoji3]kimtindo namimi nikawa natumia advantage hiyo hiyo nikikosea nasema mtoto ndo anajifunza ruksa kukosea!

Sasa mimi ndo nikawa nawahi kila siku, naogea vizuri tu kwenye story za hapa na pale nachangia kwa adabu kabisa kumbe kila kitu nilikua location tu najibana tu wanizoee kidogo. Baada ya kujua jua kazi na kunizoea walinikoma sasa maana kiukweli mimi sijawahi kuwahi kwa chochote tangu secondary mpka U.E mi nachelewaga tu yani kila kitu mi nilikua mzee wa deadline, kwenye story mi ndo naongea pumba kuliko, yaani mimi ndo ikawa naongoza kwa zile excuse za ugonjwa, ikafika kipindi hata ofisini nafika tu kusaini naend akukaa nje kwa mlinzi mpaka time ya kutoka.Mungu sio Athumani bana wakanichoka bhana kilichonikuta nadhan mnaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom