Ni jambo gani huwezi kulisahau kwa mara ya kwanza ulipoanza kazi.

OohšŸ˜”šŸ˜’nisiposhusha vioo vya gari yangu sitakuwa binti mwerevu abadani...
 
Na hao ndo watenda kazi wa "hapa kazi tu"..[emoji58][emoji29] tunaishi kwa neema za Mungu tu kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
šŸ‘šŸ½šŸ‘šŸ½šŸ‘šŸ½šŸ‘šŸ½šŸ‘šŸ½šŸ‘šŸ½ Very good decision

 
Nilipoanza tu kazi nikatupa gari la ofisi mtaroni kisa ulevi.

Sijarudi ofisini yapata mwaka, nasubiri wasahau.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Boss aliponituma kuja kulivuta nikamwambia nenda mwenyewe.
Nakumbuka kupokea barua tu ya kuachishwa kazi
Unaona sasa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mara ya kwanza walijua ni mtoto wa boss kaja maana mi ndio nilikua kadogoooo, halafu tukawa tumeongozana na HR. Walikua wananituma tuma saaaana ila kiukweli niliingia nikiwa mdogo miaka 21 et officer šŸ˜€šŸ˜€kimtindo namimi nikawa natumia advantage hiyo hiyo nikikosea nasema mtoto ndo anajifunza ruksa kukosea!

Sasa mimi ndo nikawa nawahi kila siku, naogea vizuri tu kwenye story za hapa na pale nachangia kwa adabu kabisa kumbe kila kitu nilikua location tu najibana tu wanizoee kidogo. Baada ya kujua jua kazi na kunizoea walinikoma sasa maana kiukweli mimi sijawahi kuwahi kwa chochote tangu secondary mpka U.E mi nachelewaga tu yani kila kitu mi nilikua mzee wa deadline, kwenye story mi ndo naongea pumba kuliko, yaani mimi ndo ikawa naongoza kwa zile excuse za ugonjwa, ikafika kipindi hata ofisini nafika tu kusaini naend akukaa nje kwa mlinzi mpaka time ya kutoka.Mungu sio Athumani bana wakanichoka bhana kilichonikuta nadhan mnaelewašŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Acha kabisa nilifanya kazi mm ndio nilikuwa msomi ila asie na experience niliendeshwaaaa nilikonda ..... (Manager umemzid kielim anakuwa ajiamini japokuwa sikuwa na time nae )
Nikasalim amri nikaandika barua ya kupumzika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…