Ni jambo gani huwezi kulisahau kwa mara ya kwanza ulipoanza kazi.

Watu kama nyie ndio hua mnaharibu thd hapa JF,huo upuuzi nenda pm ukaongee nae huyo mwenzako,acha kuharibu thd kwa kutuletea upuuzi upuuzi hapa.
wanazingua sana wanaleta mazungumzo binafsi kwenye threads za watu alafu hata aibu hawaoni watu wanachangia mada wao wanaleta story gani sijui alafu hata hazieleweki hazina faida kwa wengine kwanini wasiende pm kupiga story hizo wanadandia nyuzi za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi waiter. Naanza asubui shati jeupe balaa,jioni lilikua limeloa michuzi batiki murua🤗
Motel Agip pale nikaondoka na vi tip km 3000 hivi Miaka Hiyo Ndio tu shing mia coin tunatoka km dhahabu.mzungu anachukua ka mia anakuachia vilivyobaki.
Basi ikawa game, cashier anakuja na vi ndururu mia mia kibao,mzee wakilipa buku 50 blue tena 5 enzi hizo change zao buku tatu unapeleka ndururu za 100,30 wanaona hatubebi huu mzigo.wanachukua ka coin kamoja wakaonyeshe kwao. 2900 unalamba ila usisahau wahenga. Mnashare hapo restaurant manager na chef wana chao cashier anajua.
Kwa siku buku 3 au 1.5 lazima, ukirudi mtaani sasa na hivyo vi mia mia ilikua tabu sana. 🤣
 
Daah mkuu hongera miaka 21_ulikuwa umeshamaliza chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani makazini ukiwa systematic unaonekana unajipendekeza sijui kwa nini kuna husda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipoanza kazi sitasahau kuna dada mmoja wa makamo nilimpa shikamoo na nilikua namuheshimu sana, ila nilipokaa kdg ilitokea safari ya morogoro kule mtibwa sugar, tulifikia hotel flani nimesahau jina la kijiji nahisi mazizini, usiku kama saa nne kila mmoja yuko chumban kwake mm nilitoka nje nikawa napiga stori na mlinzi huku tukila konyagi, ghafla yule dada akaja anadai amekosa usingizi akajiunga kwenye konyagi, kilichofuata nilijikuta niko kwenye room ya yule dada, tulifanya mengi mno hadi tunarudi ofisini tukaendelea kimya kimya kumbe yule dada ni goma la mkuu probation period ilipoisha sikupewa mkataba kisa mahusiano mabovu eneo la kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…