Ni jambo gani la aibu umewahi kulifanya bila watu kukushtukia?

Ni jambo gani la aibu umewahi kulifanya bila watu kukushtukia?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Kuna siku bana, niko kwenye mwendokasi,nikajamba kile kishuzi cha kimyakimya,aisee kilinuka vibaya gari nzima na kama mjuavyo mwendokasi zinavyojaaga,watu wakapiga kelele sana wengine wakawa wanatukana kuwa nani huyo asiye na adabu kajamba,mimi nikawa nimejikausha nazuga eti na mimi kufunika pua.

Vipi na wewe mdau ni kitu gani cha aibu umewahi kufanya bila kushtukiwa na watu?
 
mwendokasi,nikajamba kile kishuzi cha kimyakimya,aisee kilinuka vibaya gari nzima na kama mjuavyo mwendokasi zinavyojaaga,watu wakapiga kelele sana wengine wakawa wanatukana kuwa nani huyo asiye na adabu kajamba,mimi nikawa nimejikausha nazuga eti na mimi kufunika pua.
Khaaaa halali uzi watu wasichangieeee😁😁😁😁😁😁😁😁

Cc Nomadix na Rayns
 
Khaaaa halali uzi watu wasichangieeee😁😁😁😁😁😁😁😁

Cc Nomadix na Rayns
hahaa😂
mimi niliendag weekend 1 nyumban nikiw olevel naishi bweni, sikumkuta mtu nyumban ila palikuwa wazi, nikaingia jikon nikakut kuna pilau jingi tuu nikapakua nikawa kila nikila natamani niongeze 😂😂,
nakuja kushtuka sufuria lote limebaki na msosi kidogo tuu..
nikaw naongeza tuu hadi likawa empty 😂

Nilichofanya ni kuondok chap chap kabla hawajarud na mpak leo cjawahi kuwaulizia na hawajui Kama Mimi ndio nilikula 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom