Masangutu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 814
- 653
Habari za Leo wanajamvi,
Naomba kujua experience yako ni jambo gani la maendeleo ulilifanya kulipiza kisasi cha kunyanyaswa? Mimi nimewahi kununua baiskeli mpya huko kijijini kwetu Kanda ya Ziwa baada ya manyanyaso ya jirani kuzidi kila tunapoenda kuazima kwake baiskeli. Baada ya hapo nafsi yangu ilisuuzika Sana.
Naomba kujua wewe ilikuwa nini.