Aliponinyanyasa kwa kuamua kunisaliti nikawa namkula dada yake, alilia sana
[emoji23][emoji23] mbalizi bwanaAliponinyanyasa kwa kuamua kunisaliti nikawa namkula dada yake, alilia sana
Hakika ndugu
Ulitisha mkuu.Niliamua kuinunua nyumba niliyopanga baada ya kunyanyaswa na mwenye nyumba na familia yake pamoja na kudharauliwa kuonekana nimepoteza uelekeo ya kimaisha na sina future
Sent using Jamii Forums mobile app
mie nishafanya tayari bado tu kuweka hadharani aoneAliponinyanyasa kwa kuamua kunisaliti nikawa namkula dada yake, alilia sana
Muwekee peupe ndugu na akijilengesha unapiga game moja tunaiita-ga combinengamie nishafanya tayari bado tu kuweka hadharani aone
Habari za Leo wanajamvi,naomba kujua experience yako ni Jambo gani la maendeleo ulilifanya kulipiza kisasi cha kunyanyaswa?.Mimi nimewahi kununua baiskeli mpya huko kijijini kwetu Kanda ya ziwa baada ya manyanyaso ya jirani kuzidi kila tunapoenda kuazima kwake baiskeli,baada ya hapo nafsi yangu ilisuuzika Sana.Naomba kujua wewe ilikuwa Nini.
MNYANYASAJI MKUU WA TAIFA??? umetisha Mkuu