Ni jambo gani lilikupa nguvu kubwa na hali ya kupambania riziki pale ulipopitia ugumu wa maisha?

Kwahiyo hadi migomba ukawaambia wahesabu🤣🤣🤣
Yote wagawane had miembe na miti ya miparachichi wachukue, ng’ombe, mbuzi, kuku na bata mpk njiwa wa shamba wachukue.
Watajua wenyewe km watapangiana zamu ya kuwachunga au watauza ni juu yao.

Mwenye mali zake kashajiondokea ya nini mimi kupigana?? Tena mzee kaacha ghorofa la kuishi tabata nalo nimewaambia wachukue familia zao wakaishi nazo hapo hapo au km watauza wagawane, na shule ya sekondari ……… nayo wakitaka waiuze mpk wanafunzi wa o-level na Advance wote. Zile apartment zote wachukue..!! Na km wanapita hapa wanaona waelewe MSIMAMO wangu nilikuwa namaanisha..!!!
Nyumba za Morogoro nazo wagawane. Halafu waone km kuna kitu kitaenda kubadilika kwenye maisha yao.!! Mxieeeeww
 
Nimeshuhudia mwenye Mali akifariki na vyote ulivyo vitaja mifugo,nyumba,shamba,kampuni, magari na vyotee vikapukutika kuisha sababu ya dis unit kwenye hio familia ya extended family

Wamemaliza kila kitu ndani ya muda mfupi kwa kweli nimeamini ule usemi "MAREHEMU HUFA NA CHAKE PIGANA UTAFUTE CHAKO"
 
Historia ya ukoo kwamba babu, baba na wote waliopita nyuma yangu had never been granted spoon feed to get there ila wali hustle, so that it self gave me power. Alafu kingine ni kwamba, kwenye ukoo, kila ambaye sio mvivu anafanikiwa, hio ilinipa nguvu zaidi. Yaani tusisubiri kupewa, kusaidiwa and all, tufanye kazi jamani, umaskini unaondoka wenyewe.
 
Kifo cha nyani miti yote uteleza, mwaka 2021 proved me that the hell is under the sun and are some kind of people,the same as the paradise.

Niliacha kazi nifanye biashara nikitegemea mwenzangu atanipushi, lakini akala nyoya na kila kitu, akiba iliyokuwepo nikatoa bank ili nipate makazi nayo nikapoteza mazingira tatanishi,nikauza laptop, iPad na simu,nikatoweka mitandaoni, nilishiriki stories of changes nikawa miongoni mwa washindi lakini wahusika wakashindwa kuwasiliana nami, Hakuna kuuona ujumbe two weeks later, walifanya jitihada kunitafuta hadi instagram ndio Kwanzaa ujumbe nimeuona mwaka huu, ah, it was epic walahi.

Sikuwa na choice tofauti bali kubaki katika lengo, oh Mungu sio Mwigulu, kila day na achieve.
 
Hii Hali inanipataga nikisha vuta bangi mbili na fegi moja nakuwa mtulivu jah anafanya yake
 
MIMI BINAFSI NI MAOMBI YA WAKRISTO KANISANI, NDIYO YALIYONITOA KATIKA MAPITO MAKUBWA SANA NILIYO YAPITIA, KATIKA ENEO LA FEDHA NA UCHUMI.

ÑAMSHUKURU MUME WANGU NA WATOTO WANGU KWA KUENDELEA KUWA PAMOJA NA UPENDO INGAWA ELIMU YAO ILI RUDI NYUMA KWA KUSHINDWA KUWALIPIA ADA NA KUPOTEZA MALI ZETU HASA NYUMBA.

LAKINI KWA SASA!!!

"SISI NI WALE TULIYO BARIKIWA NA BABA"

AMINA 🙌
 
Maisha yana changamoto sana sikia kwa watu tu ila omba yasikukute, lkn kanuni ni Ile Ile usikubali kushindwa hata km umechoka tunaowategemea ni wachache sana kuliko wanaotutegemea, kukata kwako tamaa ni kuua ndoto za wanaokutemea wanaokutegemea
 
Ni kuwaacha tu, mali za urithi mnaweza kuuana bure wakati mwenye nazo kashatangulia.!!

Familia zina tamaa. Wanahisi wakichukua mali watatoboa, matokeo yake zinapukutika zote.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…