Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Yote wagawane had miembe na miti ya miparachichi wachukue, ng’ombe, mbuzi, kuku na bata mpk njiwa wa shamba wachukue.Kwahiyo hadi migomba ukawaambia wahesabu🤣🤣🤣
Watajua wenyewe km watapangiana zamu ya kuwachunga au watauza ni juu yao.
Mwenye mali zake kashajiondokea ya nini mimi kupigana?? Tena mzee kaacha ghorofa la kuishi tabata nalo nimewaambia wachukue familia zao wakaishi nazo hapo hapo au km watauza wagawane, na shule ya sekondari ……… nayo wakitaka waiuze mpk wanafunzi wa o-level na Advance wote. Zile apartment zote wachukue..!! Na km wanapita hapa wanaona waelewe MSIMAMO wangu nilikuwa namaanisha..!!!
Nyumba za Morogoro nazo wagawane. Halafu waone km kuna kitu kitaenda kubadilika kwenye maisha yao.!! Mxieeeeww