Ni jambo gani lilikupa nguvu kubwa na hali ya kupambania riziki pale ulipopitia ugumu wa maisha?

Hongereni na poleni kwa changamoto hizo mkuu. Mungu ni wetu sote 🙏
 
FIRST, I HAD NO OPTION WHETHER THINGS TO BE RIGHT OR WRONG
SECOND, JEREMIAH 29:11 ALWAYS GIVES COURAGE. "FOR I KNOW I HAVE PLANS FOR YOU, DECLARES THE LORD, PLANS TO PROSPER YOU AND NOT TO HARM YOU, PLANS TO GIVE HOPE AND A FUTURE."
"Trust in him". Thank you very much fam!
 
Mmh! Hao ndugu zako wana roho za kutu asee 🤔
 
Sio moyo mgumu, ni vile wengine hatupendi makelele kwa mali ambazo mwenyewe aliyezitafuta kaziacha.!! Sasa kuanza kupeana vichomi ya kazi gani??

Nina uwezo wa kufanya kazi nikapata vyangu, sasa mali za marehemu za kazi gani??
Daah! Ni uduni, tamaa na mgando wa fikra tu ndio huwatesa watu wa namna ile.
 
Kwanza kabisa elewa kuwa "riziki" haipambaniwi wala haipiganiwi, ukiwa na mawazo hayo utaishia kwenye ujambazi na uhalifu mwengine.
 
Daah pole sana mkuu! Life linaumiza sana asee.
 
Nice advice from you fam! Tukaze sana. 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…