Mmh! Dhuruma ni mbaya sana huwa haimwachi mtu salama.Nimeshuhudia mwenye Mali akifariki na vyote ulivyo vitaja mifugo,nyumba,shamba,kampuni, magari na vyotee vikapukutika kuisha sababu ya dis unit kwenye hio familia ya extended family
Wamemaliza kila kitu ndani ya muda mfupi kwa kweli nimeamini ule usemi "MAREHEMU HUFA NA CHAKE PIGANA UTAFUTE CHAKO"
Asante sana Nifah kuna vingi vya kujifunza kwa post hii.Mpenzi wangu, Kaka mzuri.
Huyu mtu amepambana sana kuniweka sawa kiakili, kunikumbusha mimi ni nani na nina uwezo wa kufanya nini. Niliinuka na kutazama mbele kwa imani, hatimaye nikavuka.
Amenifunza sio kila changamoto inahitaji utatuzi wa kifedha, wakati mwingine faraja ndio kitu tunahitaji zaidi tunapopitia magumu.
Mtu anayekupa amani na utulivu wa akili amekupa vyote.
Sahivi mwendo wa kudeveleka na life tyuuh!! [emoji482][emoji482]Mkuu hongera sana na pole kwa changamoto zilizokupata hapo kabla. Hakuna kukata tamaa.
Lakin huoni kujua ujumbe gani alitaka kukufikishia ni baraka tosha, walimu wa kiswahili hua mnajitoa ufahamu na kulalia ktk kukosoa vi maneno hata kama havibadilishi maanaHujui tofauti ya riziki na ridhiki??
Sanaaaa!! [emoji95][emoji95]Enjoy mkuu, ndio wakati wako [emoji91]
Daah acha tu mkuu, watu wengine ndio walivyo. Kama waandishi nguli wa vitabu huwa wanakosea yeye kaneno kamoja anarusha jiwe.Lakin huoni kujua ujumbe gani alitaka kukufikishia ni baraka tosha, walimu wa kiswahili hua mnajitoa ufahamu na kulalia ktk kukosoa vi maneno hata kama havibadilishi maana
Hili ni tatizo, unakuta jamaa ana depression ya kufa anatafta wa kufa naeDaah acha tu mkuu, watu wengine ndio walivyo. Kama waandishi nguli wa vitabu huwa wanakosea yeye kaneno kamoja anarusha jiwe.
AMINA NA AMINA.Hongereni na poleni kwa changamoto hizo mkuu. Mungu ni wetu sote 🙏
Your not serious!!!Say no to marriage, it's a scam!
Nina mtoto wa kike wa miaka 7 sasa, I always wish nimtengeneze aje kuwa mwanamke wa shoka kama ww, mbinu gani nitumie mkuu?Sana washukuru tu mm ni mtu naejali sana hivo sijawahi kuwafanya wakose Raha japo nafs zao zitakuw zinaasuta sana
Pia ni kwaajili ya babaangu alinipenda sana alinipa kilakitu Yani nilikuwa mtoto wa baba haswa
Hakikabinadamu hawana huruma