Ni jambo gani lilikupa nguvu kubwa na hali ya kupambania riziki pale ulipopitia ugumu wa maisha?

Ni jambo gani lilikupa nguvu kubwa na hali ya kupambania riziki pale ulipopitia ugumu wa maisha?

Kwangu ni tofauti haikuwa sababu ya kupambania Ridhiki. Ila kupambania furaha, amani na utulivu wa akili, mwili, na mazingira yanayonizungukaa.

Niliwahi kukumbwa na jambo, sio zuri machoni Pa watu, ila km mwanadamu nina mapungufu. Nilifikia hatua ya kuona Dunia imefika mwsho,

Lakini akatokea kijana m1 akanibadilisha fikra, mtazamo na hata mawazo kiujumla, alinifundisha vingi mnoo kuhusu maisha tena ktk nyanza zotee, coca huyu wa Leo zaidi ya 55% ametokanaa na yeye.

Popote ulipo M, uzidishiwe kwa kila unachohitajii, ubarikiwe sanaa Kaka, natamani kukuona tena, nikupe shukrani yangu ya dhati kwako.

........
 
Nimeshuhudia mwenye Mali akifariki na vyote ulivyo vitaja mifugo,nyumba,shamba,kampuni, magari na vyotee vikapukutika kuisha sababu ya dis unit kwenye hio familia ya extended family

Wamemaliza kila kitu ndani ya muda mfupi kwa kweli nimeamini ule usemi "MAREHEMU HUFA NA CHAKE PIGANA UTAFUTE CHAKO"
Mmh! Dhuruma ni mbaya sana huwa haimwachi mtu salama.
 
Kwanza kabisa elewa kuwa "riziki" haipambaniwi wala haipiganiwi, ukiwa na mawazo hayo utaishia kwenye ujambazi na uhalifu mwengine.
Asante kwa neno lako mtumishi wa Mungu.
 
Mpenzi wangu, Kaka mzuri.
Huyu mtu amepambana sana kuniweka sawa kiakili, kunikumbusha mimi ni nani na nina uwezo wa kufanya nini. Niliinuka na kutazama mbele kwa imani, hatimaye nikavuka.

Amenifunza sio kila changamoto inahitaji utatuzi wa kifedha, wakati mwingine faraja ndio kitu tunahitaji zaidi tunapopitia magumu.

Mtu anayekupa amani na utulivu wa akili amekupa vyote.
Asante sana Nifah kuna vingi vya kujifunza kwa post hii.

Ova
 
Hujui tofauti ya riziki na ridhiki??
Lakin huoni kujua ujumbe gani alitaka kukufikishia ni baraka tosha, walimu wa kiswahili hua mnajitoa ufahamu na kulalia ktk kukosoa vi maneno hata kama havibadilishi maana
 
Lakin huoni kujua ujumbe gani alitaka kukufikishia ni baraka tosha, walimu wa kiswahili hua mnajitoa ufahamu na kulalia ktk kukosoa vi maneno hata kama havibadilishi maana
Daah acha tu mkuu, watu wengine ndio walivyo. Kama waandishi nguli wa vitabu huwa wanakosea yeye kaneno kamoja anarusha jiwe.
 
Huwa ninachagua kufanya na kuishi vile ambavyo naona ninaridhika,ninafurahi,ninakuwa na amani na tumaini jipya kwamba mimi sio wa kwanza na sitokuwa wa mwisho kupitia magumu.
 
Sana washukuru tu mm ni mtu naejali sana hivo sijawahi kuwafanya wakose Raha japo nafs zao zitakuw zinaasuta sana

Pia ni kwaajili ya babaangu alinipenda sana alinipa kilakitu Yani nilikuwa mtoto wa baba haswa
Nina mtoto wa kike wa miaka 7 sasa, I always wish nimtengeneze aje kuwa mwanamke wa shoka kama ww, mbinu gani nitumie mkuu?
 
Back
Top Bottom