Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu movies brother??
Niko chimbo far mno na sehemu za kupata moviesVipi kuhusu movies brother??
Nitajaribu mkuuNa kwa MB's kidogo tu, hope zinaweza kuku-transform kwa kiasi kikubwa.
Nashukuru sana mkuuFanya hivyo brother, you will add another comfort zone.
Hongeraaa mnoNlianza chuo kikuu nikiwa nmepewa mkopo 100% enzi za mwendazake, kufika mwaka wa 3 presha ya ajira ikaanza kunitesa nawaza nikitoka hapa ntaishije na ajira siku hizi hamna?. Japo nlikuta nshasevu hela kidogo nikiwa mwaka 1&2 lakini mwaka wa 3 nikazidisha ubahili.
Asee Mlo ni mmoja tu kwa siku tena 1000, sikununua nguo mpya hata moja, MB sinunui nikakomaa na VPN no matter what, nikaanza na ujasiriamali kidogo nasevu faida. Nakuja kutoka chuo hela ikatosha kuanzisha biashara japo nilikopa kidogo kujazia.
Thank God inaenda vizuri mwaka wa 4 sasa. Sijutii kujitesa, ningekuwa na confidence ya maisha nisingefanya hayo.
Yapendeza kuwa na mtu wakuegemeza bega Pindi maisha yanapokupiga tekeMpenzi wangu, Kaka mzuri. Huyu mtu amepambana sana kuniweka sawa kiakili, kunikumbusha mimi ni nani na nina uwezo wa kufanya nini. Niliinuka na kutazama mbele kwa imani, hatimaye nikavuka.
Amenifunza sio kila changamoto inahitaji utatuzi wa kifedha, wakati mwingine faraja ndio kitu tunahitaji zaidi tunapopitia magumu.
Mtu anayekupa amani na utulivu wa akili amekupa vyote.