Ni jambo gani lilikutokea ukaamini kweli Mungu yupo?

Mazima1

Senior Member
Joined
Dec 31, 2020
Posts
192
Reaction score
550
Habari Wakuu, kuna mambo mengi yanatokea maishani katika namna ambayo ukijiuliza unafikia conclusion ya kuwa hili jambo kama si kwa uwezo wa Mungu lisingetokea.

Una story yoyote ya hivyo? Karibu uchangie maoni kwenye huu mjadala.
 
Kuna wahuni watakuja kusema hapa, huyu Mungu hawaoni yanayotokea kwenye kaya yetu hii pendwa akaingilia kati kwa namna ataona inampendeza ?

Wataconclude kwa kusema hayupo, ni imagination tu
 
Nilikua chuo mwaka wa mwisho, bahati mbaya nikasitishiwa mkopo, sikuwa na namna ya kuweza kulipia gharama za ada na matumizi yangu binafsi kwa pamoja.
Nilifatilia sana bodi ya mikopo na waliishia kunifukuza kwamba hawawezi nisaidia la msingi huo muda heri ningehaingaika kwenda kutafuta ada kuliko kushinda kwenye ofisi zao.

Honestly nilikata tamaa na nyumbani nisingeweza kupiga simu kuomba chochote make familia zetu nazo uwezo mdogo, nakumbuka hiyo siku niliyo ambiwa hivyo nilichoka kabisa, na nikiwa narudi chuoni nikiwa nimekata tamaa kabisa, make nilikua shaomba sana lakini wapi.
Niliomba tena kimoyo moyo tu,
MUNGU KAMA KWELI UNANISIKIA BASI NISAIDIE NIPATE HATA LIFT YA KURUDI CHUONI.
Jamaa mmoja hapo hapo alinishtua dogo vipi twende, nkamjibu sina hela akaniuliza kwani nimekuomba hela, nkpaata lift na baada ya wiki kadhaa majina ya kusaini ada yalipokuja na langu lilikuaja.

MUNGU hua anatenda ila he is very Unpredictable.
 
Ngoja tuwasubiri
 
MUNGU hua anatenda ila he is very Unpredictable

Hakika
 
YEYE aliekupa lift ashasahau, ila wewe kamwe hautosahau.

Sometimes tunatenda wema mdogo sana ila una impact kubwa sana kwenye maisha ya mtu.
 
kwa akili yangu bunifu bila kutumia AI nikitegemea ulete kwnza kisa chako na sisi tumwage ushuhuda wetu.
 
Nakumbuka nilifukuzwa kazi kwa kusingiziwa na boss wangu nikaamua kwenda kuchukua masters baada ya kuuza nyumba yangu moja baadae nikiwa kasomoni Magufuli nae akamuachisha kazi mke wangu wote tukawa hatuna ajira ndugu zangu walinicheka na kunisimanga sana,sana na kunisema vibaya hasa MAMA yangu mzazi.

Nilimaliza kozi yangu nikarudi mtaani na kuanzisha ofisi ya mfukoni ya kufanya kazi za kutumwa chochote kile nifanye ikiwa ni pamoja na udalali,ukalimani,kupeleka nyaka sehemu yoyote,nk.

Nilihamia mkoa wa hovyo ili kuepuka ushindani ktk mikoa mikubwa nikaanza kuona mwanga na niliishi gesti kwenye chumba cha mhudumu nikafungua saluni ya kiume ya kwanza nikawa nalala humohumo usiku asbh kinyozi anaendelea na kazi.

Wakati huo nilikuwa naendelea na kesi CMA kwani mwajiri ambaye ni serikali hakuwahi kunilipa chochote kama sitahiki zangu hata nauli ya kunirudisha nyumbani na familia yangu sikupewa niklishinda kesi lakini mwajiri akakata rufaa mahakama kuu na kushinda kesi kwa kuamuliwa kuwa nilionewa kwa kufukuzwa bila sababu na kutofuata utaratibu ikaamuliwa nilipwe na kurejeshwa kazini kitu ambacho hadi leo serikali haijafanya hivyo pamoja na kwenda Tume ya Utumishi wa Umma.

Nilipambana kazi ya kutumwa nikafungua ofisi na kampuni ya udalali,kudai madeni,kupangisha majumba na fremu,nk badae niliugua kwa muda mrefu sana nikalazwa muhimbili naada ya kugundulika nina tatizo la presha ya kushuka.

Nilikaa mihimbili badae nikaruhisiwa na kuwa naenda kliniki tu huku nikiendelea na kazi zangu kwa kioindi chote nilichokuwa naumwa kwani kazi zangu nyingi nilikuwa nafanyia kwenye simu na laptop.
Mungu alibariki baada ya kuumwa kazi zangu zikafanikiwa nikatoka ofisi ya kupanga na kujenga ofisi yangu mwenyewe,nikalima migomba ikakubari,nikajenga vijumba vya kupangisha mjini na kijijini kwetu kwenye eneo nililoachiwa na babu yangu na sasa tumejiajiei mimi na mke wangu katika ofisi yetu,tunafuga kuku,tumefungua duka la agrovet na la mahitaji ya nyumbani pamoja na parking ya magari.

Sasa wale wafanyakazi wenzangu na mabosi wangu karibia wote walionitolea ushahidi wa uongo CMA na mahakamani walifikuzwa kazi wengine kushushwa vyeo kwa nyakati tofauti na kuwa na maisha magu kiasi cha kuja kwangu kukopa hela kwa riba hata wengine kufariki .

Ndugu zangu na mama yangu walionitenga ,kuninyanyapaa na kunidharau hawaamini kinachotokea.

Kwa hatua hii Mungu kanitendea mema mengi namshukru.

Asanteni
 
Wale nyumbu waliokua wanaiba mali za watu na kuharibu huku wanacheka kwa sasa na wao wanalia

Hilo ndo limenifanya niamini Mungu yupo
 
Ukisikia Karma basi ndo hii🙌
 
Back
Top Bottom