The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2020 Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM alitangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225 akimshinda aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) akipata kura 37,591.
Baada ya Dkt. Tulia kuwa mbunge wanaCCM wamekuwa wakijitapa sana kama vile yamefanyika ya kutisha Mbeya inafikia hatua mpaka wanasema maeneo mengine wanatamani Tulia akagombee maeneo yao ili awe mbunge huko, sijui ni akija nani wanaomtamani mbunge ambaye ni Spika wa bunge amefeli kushughulikia changamoto za jiji. Barabara zimechoka kiasi kwamba ukifika ukaambiwa ni jiji ni kama unatukanwa tu.
Pia soma: Meya wa jiji la Mbeya: Kila mtanzania anatamani Dkt. Tulia awe mbunge wa jimbo lake, Mbeya mkikataa aendelee atagombea jimbo lolote atashinda
Stuxnet Tulia anastahili kuwa mbunge kwa awamu ya pili?