Ni jambo gani lililofanyika Mbeya mjini wanaweza kujivunia tangu Dkt. Tulia awe mbunge? anatufaa tena 2025?

Tulia hastahili kabisa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa vile hana uwezo wa kubadili mustabali wa uchumi, moundombinu na maisha ya wana Mbeya.

Usidanganyike kuwa alishinda kura mwaka 2020 bali aliwekwa tu Mwendazake kwa sababu zake. Oktoba 2025 ni Polisi na Tume ya Uchaguzi tu ndizo zinaweza kumpitisha Tulia kuwa mbunge wa Mbeya. Kimsingi HATUMTAKI
Kuna wale wanaosema wananchi wa majimbo mengine wanamtamani kwa kuwa anafanya makubwa, sijui ni makubwa gani
 
Nafikiri wewe si mwenyeji wa Mbeya na unahadithiwa tu.
Naamini hujaona ujenzi wa barabara mpya Uyole hadi mjini.
Linganisha na mshamba wako aliye udatisha mkoa kwa miaka 10.
Swala la barabara ya njia limepigiwa kelele kitambo, na mradi umekuja kuanza kimkakati kipindi cha uchaguzi baada ya hapo mnaula wa chuya
 
hivi hakuna namna mbunge anaweza kubaki na wazifa wake badala ya kutafuta ubunge ile aje kua waziri maaana anaacha jimbo halina msimamizi
 
Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2020 Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM alitangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225 akimshinda aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) akipata kura 37,591.

Baada ya Dkt. Tulia kuwa mbunge wanaCCM wamekuwa wakijitapa sana kama vile yamefanyika ya kutisha Mbeya inafikia hatua mpaka wanasema maeneo mengine wanatamani Tulia akagombee maeneo yao ili awe mbunge huko, sijui ni akija nani wanaomtamani mbunge ambaye ni Spika wa bunge amefeli kushughulikia changamoto za jiji. Barabara zimechoka kiasi kwamba ukifika ukaambiwa ni jiji ni kama unatukanwa tu.

Pia soma: Meya wa jiji la Mbeya: Kila mtanzania anatamani Dkt. Tulia awe mbunge wa jimbo lake, Mbeya mkikataa aendelee atagombea jimbo lolote atashinda

Stuxnet Tulia anastahili kuwa mbunge kwa awamu ya pili?
View attachment 3270010View attachment 3270013
Na sugu pia alifanya Nini?
 
Tatizo watanzania wengi hawana elimu hawajui majukumu ya mbunge ni Nini hayo yote uliyoyaeleza sio majukumu ya mbunge
 
Kuna wale wanaosema wananchi wa majimbo mengine wanamtamani kwa kuwa anafanya makubwa, sijui ni makubwa gani
Wote hao ni walevi wa pombe za kienyeji. Tulia kila msiba anahudhuria na kuwapa hela ya pombe
 
Back
Top Bottom