Ni jambo gani lililofanyika Mbeya mjini wanaweza kujivunia tangu Dkt. Tulia awe mbunge? anatufaa tena 2025?

Kuna wale wanaosema wananchi wa majimbo mengine wanamtamani kwa kuwa anafanya makubwa, sijui ni makubwa gani
 
Nafikiri wewe si mwenyeji wa Mbeya na unahadithiwa tu.
Naamini hujaona ujenzi wa barabara mpya Uyole hadi mjini.
Linganisha na mshamba wako aliye udatisha mkoa kwa miaka 10.
Swala la barabara ya njia limepigiwa kelele kitambo, na mradi umekuja kuanza kimkakati kipindi cha uchaguzi baada ya hapo mnaula wa chuya
 
hivi hakuna namna mbunge anaweza kubaki na wazifa wake badala ya kutafuta ubunge ile aje kua waziri maaana anaacha jimbo halina msimamizi
 
Na sugu pia alifanya Nini?
 
Tatizo watanzania wengi hawana elimu hawajui majukumu ya mbunge ni Nini hayo yote uliyoyaeleza sio majukumu ya mbunge
 
Kuna wale wanaosema wananchi wa majimbo mengine wanamtamani kwa kuwa anafanya makubwa, sijui ni makubwa gani
Wote hao ni walevi wa pombe za kienyeji. Tulia kila msiba anahudhuria na kuwapa hela ya pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…