Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza.
Share experience tujifunze kutoka kwako.
Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu nikiangalia reel ya kuelimisha mara pap kalio hilo...macho nayo siunayajua yanaangalia...Kisha history inabaki niliangalia . App zimeshadelete-wa mara kibao.
Spendi kuangalia ila ikitokea macho yananiambia angalia uone mwisho wapi.
Wewe kipi umeshindwa kuacha??